Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
- Thread starter
-
- #61
Anachamba Mbuzi. Ndo mchambuzi. Yaani mchamba mbuzi.Kuna mwamba anajiita daudi mchambuzi,sijui anachambuaga nini? Maana sijawahi kuona uchambuzi wake kwa uzi wala kwenye comment section.
Una maoni gani pia kwa Watu ambao Kutwa na Makusudi huwa Wananichokoza, Wananidhihaki, Wananitukana na Wananichafua hapa JamiiForums ili niwajibu kwa Lugha yangu Kali kisha wakimbilie Kuniripoti na nipewe BAN ili iwe Sherehe Kwao?1. Mshana Jr huyu jamaa alipoambiwa yeye ni expert wa uchawi basi akaanza kuamini kila sehemu ni expert hata kwenye mambo ya akili. Hapo ndo akaanza kuharibu sana. Maana kuna mambo mengine yanataka akili siyo ujanja ujanja.
2. UMUGHAKA jamaa alikuja na story flan mademu wakaipenda sana basi kutoka hapo akawa anakurupuka tu kila wakati anatunga anasema ni maisha yake...wenye akili tukaanza ku question. Akatuchukia. ..mwaka huu aliharibu padogo tu. Sasa amebaki na mademu na wasio na elimu kubwa. Ila mi namtia moyo asiache kupambana atatoka tu kwa style hiyo hiyi....wajinga ni wengi kuliko werevu.
3. Kuna mwingine kubwa jinga yeye anapenda sana attention. Ana IDs kama 20 hivi siyo kama sisi wengine. Hajui kitu ila anapenda kuonekana anajua na katika hizo harakati ndo anaonesha hajui. Wenye akili tunamcheck tunasema hiiiiiii....yupo very insecure. Na ni mtu aliyeathirika na kudharaulika akiwa anakua. So anatafuta sana kuheshimika na kuwa maarufu. Ukimkosoa anakutukana siku nzima. Jina lake limenitoka kidogo.anaipenda team moja ya hovyo kibonde chetu ya Kariakoo.
4. Lucas mwashambwa huyu jamaa ni msafwa akachukua jina la Kinyakyusa ili naye aonekane mtu. Njaa imemganda hadi kichwani...analamba viatu sana na bado haonekani. Basi amebaki tu kusifu na kuabudu na njaa yake. Anaishia kulamba lips. Mwaka 2023 aje na mbinu mpya hii inaweza isimtoe.akabaki hivi hivi siku zote
5. Daaaah..... Hadi mimi Chizi Maarifa nimetajwa kuwa ni mtu wa hovyo. But mbona nina akili sana? Au ndo wakati mwingine mwezi mchanga?sema kuna wakati nakuwa na Ujinga flani hivi sielewi inakuaje nakuwa na mambo ya kiduanzi sana. Mwaka ujao niache ufala nifanye mambo ya msingi.
6. mpwayungu village huyu jamaa baada ya demu wake kuchukuliwa na mwalimu sababu ya yeye kuwa njaa mbaya. Aliamua kuanzisha vita na walimu mwaka huu wote..... Yeye hata akijikwaa anakuja kuanzisha uzi kulaumu walimu. Akidaiwa pesa za watu hasira anakuja kutolea kwa walimu. Nimeshamshauri atafute demu mwingine....anasema hawezi penda kama alivyompenda yule binti.
Nawataka wajirekebishe mwaka 2023 hautakuwa rahisi kwao. Nimeamua kuwa nyuma yao kuangalia mienendo yao. Wabadilike.
Una maoni gani pia kwa Watu ambao Kutwa na Makusudi huwa Wananichokoza, Wananidhihaki, Wananitukana na Wananichafua hapa JamiiForums ili niwajibu kwa Lugha yangu Kali kisha wakimbilie Kuniripoti na nipewe BAN ili iwe Sherehe Kwao?Huyo namba tatu ngoja aamke uoge matusi kwa kutumia ID mpya,jamaa nimekua nae oysterbay familia bora tatizo lake ni ufupi,ana urefu wa futi tano kamili so badhani unafahamu watu wafupi kujikweza
Genta.1. Mshana Jr huyu jamaa alipoambiwa yeye ni expert wa uchawi basi akaanza kuamini kila sehemu ni expert hata kwenye mambo ya akili. Hapo ndo akaanza kuharibu sana. Maana kuna mambo mengine yanataka akili siyo ujanja ujanja.
2. UMUGHAKA jamaa alikuja na story flan mademu wakaipenda sana basi kutoka hapo akawa anakurupuka tu kila wakati anatunga anasema ni maisha yake...wenye akili tukaanza ku question. Akatuchukia. ..mwaka huu aliharibu padogo tu. Sasa amebaki na mademu na wasio na elimu kubwa. Ila mi namtia moyo asiache kupambana atatoka tu kwa style hiyo hiyi....wajinga ni wengi kuliko werevu.
3. Kuna mwingine kubwa jinga yeye anapenda sana attention. Ana IDs kama 20 hivi siyo kama sisi wengine. Hajui kitu ila anapenda kuonekana anajua na katika hizo harakati ndo anaonesha hajui. Wenye akili tunamcheck tunasema hiiiiiii....yupo very insecure. Na ni mtu aliyeathirika na kudharaulika akiwa anakua. So anatafuta sana kuheshimika na kuwa maarufu. Ukimkosoa anakutukana siku nzima. Jina lake limenitoka kidogo.anaipenda team moja ya hovyo kibonde chetu ya Kariakoo.
4. Lucas mwashambwa huyu jamaa ni msafwa akachukua jina la Kinyakyusa ili naye aonekane mtu. Njaa imemganda hadi kichwani...analamba viatu sana na bado haonekani. Basi amebaki tu kusifu na kuabudu na njaa yake. Anaishia kulamba lips. Mwaka 2023 aje na mbinu mpya hii inaweza isimtoe.akabaki hivi hivi siku zote
5. Daaaah..... Hadi mimi Chizi Maarifa nimetajwa kuwa ni mtu wa hovyo. But mbona nina akili sana? Au ndo wakati mwingine mwezi mchanga?sema kuna wakati nakuwa na Ujinga flani hivi sielewi inakuaje nakuwa na mambo ya kiduanzi sana. Mwaka ujao niache ufala nifanye mambo ya msingi.
6. mpwayungu village huyu jamaa baada ya demu wake kuchukuliwa na mwalimu sababu ya yeye kuwa njaa mbaya. Aliamua kuanzisha vita na walimu mwaka huu wote..... Yeye hata akijikwaa anakuja kuanzisha uzi kulaumu walimu. Akidaiwa pesa za watu hasira anakuja kutolea kwa walimu. Nimeshamshauri atafute demu mwingine....anasema hawezi penda kama alivyompenda yule binti.
Nawataka wajirekebishe mwaka 2023 hautakuwa rahisi kwao. Nimeamua kuwa nyuma yao kuangalia mienendo yao. Wabadilike.
Ndo na wewe umeamua uunde ID leo uje nitukana? Unalipwa tsh ngapi?Mtoa maada ni mtu sio popular humu btw ndo nmemuona leo anapaka watu masizi ili na yeye aonekane heri apuuzwe
Una maoni gani pia kwa Watu ambao Kutwa na Makusudi huwa Wananichokoza, Wananidhihaki, Wananitukana na Wananichafua hapa JamiiForums ili niwajibu kwa Lugha yangu Kali kisha wakimbilie Kuniripoti na nipewe BAN ili iwe Sherehe Kwao?Namba tatu si uandike GENTAMYCINE umezunguka sana ili iweje.
Sana shoga aangu....niambie. za wapi?Upo fresh sister?
Man kuona wenzako wanatajwa you jealousy?Ndo na wewe umeamua uunde ID leo uje nitukana? Unalipwa tsh ngapi?
Huwezi kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ukapendwa na Watu Wapumbavu, Waswahili na wenye Roho Mbaya zenye Chuki na Wivu kwakuwa Nakubalika na Maarufu Kuwazidi.Naunga mkono hoja. Jamaa amemkosea sana GENTAMYCINE Nadhani chizi maarifa ni jitu la hovyo hovyo lililojaa wivu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Nani anakuchafua wakati u mchafu tayari?Una maoni gani pia kwa Watu ambao Kutwa na Makusudi huwa Wananichokoza, Wananidhihaki, Wananitukana na Wananichafua hapa JamiiForums ili niwajibu kwa Lugha yangu Kali kisha wakimbilie Kuniripoti na nipewe BAN ili iwe Sherehe Kwao?
Mkitana nibadjlike anzeni Kwanza kuacha kuwa Wapumbavu na Wanafiki kisha kakateni Rufaa kwa Mwenyezi Mungu kwanini alinibariki Mimi GENTAMYCINE na kuwa hivi Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer nilivyo na nyie kuwapeni Roho za Chuki na Wivu juu ya Umaarufu na Uwasilishaji wangu wa Kipekee hapa JamiiForums?
Kama mnadhani Kunitaja huku kwa Mabaya kutasaidia Kunichafua na huenda Kura zangu zipungue katika Majukwaa yanayoshindanishwa mmekosea mno kwani sijaanza Kupigiwa tu Kura nanyi Maadui zangu hapa bali hata Mwenyezi Mungu nae na Malaika wake wanatambua na wanapenda ninayoyawasilisha hapa.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
GENTAMycin hamna kitu kataja SIFA zake za ukweli jamma hapendi kukosolewa ukimkosoa lazima haNa.3 umemkosea Genta, jamaa anatoa raman nzuri sana ya kazi za kiitelejensia na ukitafakari ni mwanaharakati wa kutetea wanyonge
Wanatajwa wapi tena sister?Man kuona wenzako wanatajwa you jealousy?
Una ugonjwa wa ASS (alaf ni ugonjwa wa kike huu)
Huogopi Kuambiwa / Kusingiziwa kuwa hii ID yako ni Mimi GENTAMYCINE Kiongozi?Miwivu tu muache GENTAMYCINE wetu
Umemaliza?GENTAMycin hamna kitu kataja SIFA zake za ukweli jamma hapendi kukosolewa ukimkosoa lazima ha
Una maoni gani pia kwa Watu ambao Kutwa na Makusudi huwa Wananichokoza, Wananidhihaki, Wananitukana na Wananichafua hapa JamiiForums ili niwajibu kwa Lugha yangu Kali kisha wakimbilie Kuniripoti na nipewe BAN ili iwe Sherehe Kwao?Ana ID kama 29,alivyo mjinga anabadili ID anasahau kubadili mwandiko
Kweli aiseeUmemkosea heshima Mshana Jr
Huwezi kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ukapendwa na Watu Wapumbavu, Waswahili na wenye Roho Mbaya zenye Chuki na Wivu kwakuwa Nakubalika na Maarufu Kuwazidi.Labda familia bora kwako. Familia Bora huwa hawapati muda wa kujifunza matusi. Mi nafahamu.... Jamaa amejaa matusi tu kichwani mwake.