CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Huogopi Kuambiwa / Kusingiziwa kuwa hii ID yako ni Mimi GENTAMYCINE Kiongozi?
GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' Mimi.Mi jina lake silikumbuki.
Popoma ban imeisha lini? Maana ilipigwa ban halafu mimi pia ni fan wako popoma na nimeweka uzi kabisa wa kukuwish mery xmass na upopoma wako.Una maoni gani pia kwa Watu ambao Kutwa na Makusudi huwa Wananichokoza, Wananidhihaki, Wananitukana na Wananichafua hapa JamiiForums ili niwajibu kwa Lugha yangu Kali kisha wakimbilie Kuniripoti na nipewe BAN ili iwe Sherehe Kwao?
Mkitana nibadjlike anzeni Kwanza kuacha kuwa Wapumbavu na Wanafiki kisha kakateni Rufaa kwa Mwenyezi Mungu kwanini alinibariki Mimi GENTAMYCINE na kuwa hivi Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer nilivyo na nyie kuwapeni Roho za Chuki na Wivu juu ya Umaarufu na Uwasilishaji wangu wa Kipekee hapa JamiiForums?
Kama mnadhani Kunitaja huku kwa Mabaya kutasaidia Kunichafua na huenda Kura zangu zipungue katika Majukwaa yanayoshindanishwa mmekosea mno kwani sijaanza Kupigiwa tu Kura nanyi Maadui zangu hapa bali hata Mwenyezi Mungu nae na Malaika wake wanatambua na wanapenda ninayoyawasilisha hapa.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
Uzi kwa 98% umeanzishwa Kunilenga Mimi Hawa Wengine Wametajwa tu ili Kuzuga wakudhani GENTAMYCINE nina Upumbavu wa Kutukuka kama wa Muanzisha / Mleta Mada.Uzi wa kichochezi
Huwezi kuwa Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ukapendwa na Watu Wapumbavu, Waswahili na wenye Roho Mbaya zenye Chuki na Wivu kwakuwa Nakubalika na Maarufu Kuwazidi.namba 3 na kubwa jinga mmoja linaitwa GENTAMYCIME
mtaje au unaogopa matusi yake ya kizamani
Nimeambiwa shida yako ni ufupi uliopitiliza ....Uzi kwa 98% umeanzishwa Kunilenga Mimi Hawa Wengine Wametajwa tu ili Kuzuga wakudhani GENTAMYCINE nina Upumbavu wa Kutukuka kama wa Muanzisha / Mleta Mada.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
Una maoni gani pia kwa Watu ambao Kutwa na Makusudi huwa Wananichokoza, Wananidhihaki, Wananitukana na Wananichafua hapa JamiiForums ili niwajibu kwa Lugha yangu Kali kisha wakimbilie Kuniripoti na nipewe BAN ili iwe Sherehe Kwao?Genta.
Moderators wa JamiiForums mnaziachia Threads kama hizi ambazo zina Lengo kabisa la Kuchokozana, Kuchafuana na Kudhalilishana ili akina GENTAMYCINE tunaoonekana tuna Hasira na Majibu Makali na Umiza kisha tukiyatoa upesi sana mje Kutupiga BAN za Wiki Tatu, Mwezi na hata Miezi.Nimeambiwa shida yako ni ufupi uliopitiliza ....
Unalia nini sasa?Una maoni gani pia kwa Watu ambao Kutwa na Makusudi huwa Wananichokoza, Wananidhihaki, Wananitukana na Wananichafua hapa JamiiForums ili niwajibu kwa Lugha yangu Kali kisha wakimbilie Kuniripoti na nipewe BAN ili iwe Sherehe Kwao?
Mkitana nibadjlike anzeni Kwanza kuacha kuwa Wapumbavu na Wanafiki kisha kakateni Rufaa kwa Mwenyezi Mungu kwanini alinibariki Mimi GENTAMYCINE na kuwa hivi Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer nilivyo na nyie kuwapeni Roho za Chuki na Wivu juu ya Umaarufu na Uwasilishaji wangu wa Kipekee hapa JamiiForums?
Kama mnadhani Kunitaja huku kwa Mabaya kutasaidia Kunichafua na huenda Kura zangu zipungue katika Majukwaa yanayoshindanishwa mmekosea mno kwani sijaanza Kupigiwa tu Kura nanyi Maadui zangu hapa bali hata Mwenyezi Mungu nae na Malaika wake wanatambua na wanapenda ninayoyawasilisha hapa.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great!!!
Watajwa wakaangalie katika uzi kama kuna jina la mjishuku huyu.Moderators wa JamiiForums mnaziachia Threads kama hizi ambazo zina Lengo kabisa la Kuchokozana, Kuchafuana na Kudhalilishana ili akina GENTAMYCINE tunaoonekana tuna Hasira na Majibu Makali na Umiza kisha tukiyatoa upesi sana mje Kutupiga BAN za Wiki Tatu, Mwezi na hata Miezi.
Huhitaji Aklli Kubwa kujua na hata tu ukipitia Comments za Mleta Uzi kuwa huu Uzi ameuanzisha Makusudi ili Kunilenga Mimi na hawa Wengine aliowataja hapa amezuga akidhani wenye Aklli Kubwa na Wazoefu ( Wakongwe ) hapa JamiiForums hatufamjua.
Huenda huu Uzi umeachwa Kimakusudi na Kimkakati hadi sasa uko Kurasa ( Page ) ya Tano ( 5 ) ili Aliyelengwa Kisiri ( Kificho ) GENTAMYCINE ajibu Mapigo kisha apigwe BAN ndefu ndipo Uzi nao Ufungwe / Ufufwe rasmi.
Cc: Cookie, YinYang, Moderator, Paw, Active, JamiiForums and JamiiForums Founder Maxence Melo
Nionee Huruma kidogo ni Juzi tu nimetoka Kifungoni Kiongozi wangu sawa? au labda unataka nirejee tena huko?Genta mpe huyo mpaka achakae
Hili ndiyo Jibu ya Swali nililoliuliza au?Unalia nini sasa?
Fumbo Mfumbie Mjinga Mwerevu atalitambua.Watajwa wakaangalie katika uzi kama kuna jina la mjishuku huyu.
Unamuuliza nani sasa maswali ya hovyo hovyo hivyo?Hili ndiyo Jibu ya Swali nililoliuliza au?
Sawa.Unamuuliza nani sasa maswali ya hovyo hovyo hivyo?