Uzi wa picha nzuri, story nzuri na kumbukumbu za watoto

Uzi wa picha nzuri, story nzuri na kumbukumbu za watoto

ShesRise_1

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2025
Posts
22,235
Reaction score
51,111
Wale wapenzi wa WATOTO👭👬👶

Karibu kwenye uzi wa picha za watoto na simulizi zao

Kama una story yeyote kuhusu watoto share iwe nzuri au ya kusikitisha

Watoto wametokana na sisi wenyewe ni damu yetu, wanakuzwa ndani yetu na wao ni sehemu yetu

Watoto wana uzuri wao wa kipekee sana

Wanapocheka, wanapotabasamu, wanapocheza au hata wanapotufanyia zile moments zao ndogo ndogo huwa wanatuletea furaha amani utulivu na tabasamu ambalo wakati mwingine hata hujui limetokea wapi 🥹 ❤️

Kuna kitu fulani hivi kwa watoto… ukiwaangalia tu unaweza kujikuta unatabasamu mwenyewe 😊❤️

Uzuri wao sio sura tu, hata namna walivyo innocence yao vicheko vyao na ile furaha yao ya kawaida ni kitu kizuri sana inavutia sana

Kuna namna mtu mzima ukipakata mtoto hasa mtoto mdogo yaani kuna feeling fulani unaipata ya kusisimua

Unaweza kushare picha ya mtoto uliyemwona sehemu au hata picha yako mwenyewe ukiwa mtoto (kama unaweza)

Na pia unaweza kushare story yoyote kuhusu watoto iwe ni story ya mtoto wako mtoto uliyewahi kumuona sehemu story iliyokufurahisha au hata kumbukumbu yoyote kuhusu utoto wako

Mimi binafsi nawapenda sana watoto 😍

ShesRise_1 ✋️

file_00000000f73082438efcb86c5d10b67e.png
 
Nikiwa mtoto niliwahi potea na ilikuwa ni Kenya huko shambani eeh bhn mm nilimfuata Masai sasa nikakutana na watu wananijua wakanirudisha mpk mpakani nikaachwa hapo,,

Kimbembe ni huko nyumbn aseeh, nilitafutwa mpk police ya Kenya,

Nashukuru sana
 
Nikiwa mtoto niliwahi potea na ilikuwa ni Kenya huko shambani eeh bhn mm nilimfuata Masai sasa nikakutana na watu wananijua wakanirudisha mpk mpakani nikaachwa hapo,,

Kimbembe ni huko nyumbn aseeh, nilitafutwa mpk police ya Kenya,

Nashukuru sana
Ilikuaje mpka ukafika mbali hivyo au ilikua ni mpakani?
 
Back
Top Bottom