Uzi wa picha nzuri, story nzuri na kumbukumbu za watoto

Ni mpakani so nilikuwa mvivu nikaambiwa kaa chini ya mti upumzike saa ngp sijamuona masai kapita nami namfuata kama sio baadhi ya watu kunijua saa hz ngekuwa masai huko Kenya nachunga mbusi sa kikenyaa na nini kunayo cc min -me
Kumbe utundu ni tangu kitambo wewe kijana 😅
Mimi nakumbuka kipindi nipo mdogo nilikua napigana na mdogo wangu anaenifata kuzaliwa 😅😅

Juzi kati alinitembelea tukakumbuka zile ngumi tulicheka sanaa na tulikua na wakati mzuri sana
Ule ulikua utoto lakini tunapendana sanaa😊
 
Hahahaha nilishawahi kupigwa mpk nikashindwa kukaa 😂, yaqan kulikuwa hamna maelezo mpk kufikia 13yrs ndo maelekezo no fimbo

Ila before ni facial expressions na fimbo tuu
 
Aisee ila hii ni mbaya sana viboko bila maelekezo inaweza kuleta matatizo ya Saikolojia kwa mtoto ujue
 
Hahahaha acha kabisa sema ndiyo malezi wengi tuliyopitia
Mimi sipendi kabisa kupiga mtoto nikiona machozi yake naumia sana

So mpka ukiona namchapa mtoto basi huyo mtoto amekosea pakubwa sanaa yaani kavuka mipaka

Lakini baadhi ya wazazi hupiga mnoo watoto kitu si kitu mtoto anapigwa kama mwizi😢😢
 
Basi mm katika kitu ambacho watoto hawanisogelei ni kuleta ujinga natembeza nakooz

Nataka anyooke kama maji hasa wale wazazi wa jUniiii jamani juniaaa acha basi ama ni mtoto mwache

Nilimwambia mtu yule angekuwa mwanangu ningemkaanga saa hz 😂

Imagine unakula mtoto anaweka mikono kwenye chakula chako,

Nikapita sehemu mtoto wa miaka km saba kashika deli la maandazi kalipush kamwaga hata haokoti afu mamake kakaa km mbwa kiziwi
 
Mtoto ana uwezo wa kuelewa bila kupigwa sana jitahidi mtoto akuelewe kwa maongezi tu bila kiboko
Kiboko iwe hatua ya mwisho kabisa
 
_441ca7d2-ff10-44ca-8591-7c479ad3e56c.jpeg
 
🤗
 
Attachments

  • pexels-sunvani-hoang-59600621-7973642.jpg
    pexels-sunvani-hoang-59600621-7973642.jpg
    348.2 KB · Views: 14
Utakumbukaje mambo ya utotoni, mimi najua mkubwa wako ndio atakumbuka uliyoyapitia utotoni na sio mwenyewe ukumbuke. Unacho kumbuka sio cha utoton bali hayo tayari unakuta n nusu mtu. Ila ni sawa kwenu mnaokumbuka mimi hata ya jana sijakumbuki hata moja.
 
Back
Top Bottom