Uzi wa picha nzuri, story nzuri na kumbukumbu za watoto

Uzi wa picha nzuri, story nzuri na kumbukumbu za watoto

Kuna hisia nzuri sana kuangalia watoto wenye sura ya upole hivi😊
 

Attachments

  • 2026_08_20_22.50.17.jpg
    2026_08_20_22.50.17.jpg
    39.3 KB · Views: 12
Wale wapenzi wa WATOTO👭👬👶

Karibu kwenye uzi wa picha za watoto na simulizi zao

Kama una story yeyote kuhusu watoto share iwe nzuri au ya kusikitisha

Watoto wametokana na sisi wenyewe ni damu yetu, wanakuzwa ndani yetu na wao ni sehemu yetu

Watoto wana uzuri wao wa kipekee sana

Wanapocheka, wanapotabasamu, wanapocheza au hata wanapotufanyia zile moments zao ndogo ndogo huwa wanatuletea furaha amani utulivu na tabasamu ambalo wakati mwingine hata hujui limetokea wapi 🥹 ❤️

Kuna kitu fulani hivi kwa watoto… ukiwaangalia tu unaweza kujikuta unatabasamu mwenyewe 😊❤️

Uzuri wao sio sura tu, hata namna walivyo innocence yao vicheko vyao na ile furaha yao ya kawaida ni kitu kizuri sana inavutia sana

Kuna namna mtu mzima ukipakata mtoto hasa mtoto mdogo yaani kuna feeling fulani unaipata ya kusisimua

Unaweza kushare picha ya mtoto uliyemwona sehemu au hata picha yako mwenyewe ukiwa mtoto (kama unaweza)

Na pia unaweza kushare story yoyote kuhusu watoto iwe ni story ya mtoto wako mtoto uliyewahi kumuona sehemu story iliyokufurahisha au hata kumbukumbu yoyote kuhusu utoto wako

Mimi binafsi nawapenda sana watoto 😍

ShesRise_1 ✋️

View attachment 3653994
Una watoto wazuri kama mama yao.
 
Tuwa tendee wema
Watoto waliotendewa vizuri na wazazi wao hua wanakuja kua faida kwa jamii nzima
Hauwezi kuwatendea wema kama umebeba maumivu na kama una ego..

Ego ni mbaya sana kwa watoto

Unakuta kitu kisa halipendi kula chakula fulani linatoka na watoto nao wasile, au limezoea kufanya jambo fulani na watoto nao wafanye kwa lazima..

Huo ni ujuha.. Na ukiliambia linasema uliwazaa wewe? Ningekuwa na bastola mm nalifyatua tu
 
Sasa hili jina ndio mwake kabisa wachache watanijua Tu hata wewe utanijua wee twende tu
Kua na Multiple I'd au kubadili majina ya I'd yako mara kwa mara ni dalili mbaya sana
Ni tishio dhidi ya afya yako ya akili

Ukiona una badili username au ku login kwa I'd nyingine ili upate ujasiri wa ku m face mtu huo ni udhaifu

I'm here and I proud of my self
 
Kua na Multiple I'd au kubadili majina ya I'd yako mara kwa mara ni dalili mbaya sana
Ni tishio dhidi ya afya yako ya akili

Ukiona una badili username au ku login kwa I'd nyingine ili upate ujasiri wa ku m face mtu huo ni udhaifu

I'm here and I proud of my self
Umeenda Mbali saana enewei.
Bado hujanitafutia demu humu mwanangu
 
Back
Top Bottom