ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #81
😅😅 Pole sana ni kijiji gani hichoHuku kijijini nyumba yangu Nimezungukwa na mitoto ya kishenzi kila siku kunya upenuni mwa nyumba yangu
Kijiji cha banduliwa😅😅 Pole sana ni kijiji gani hicho
Usotarabu zero?
Ooh sawaKijiji cha banduliwa
Come to meNipate huyo mtu aliye serious na awe na uwezo wa kumlea huyo mtt sio unazaa mtt anaanza kuteseka 😔😁
Kwenye hiki kijiji naishi na Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah na watoto wao ni miongoni mwa wanaokunya pembezoni mwa nyumba yanguOoh sawa
🐒Kwenye hiki kijiji naishi na Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah na watoto wao ni miongoni mwa wanaokunya pembezoni mwa nyumba yangu
Tena kuna siku watoto wako walikunya kwangu,halafu giza lilipoingia ukaja kunya wewe uwanjani kwangu unadhani sikukuona,halafu ulivyomaliza ukavua shati ukajitawazia na kulivaa tena ukaenda zako
Haya sawa poleKwenye hiki kijiji naishi na Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah na watoto wao ni miongoni mwa wanaokunya pembezoni mwa nyumba yangu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huku kijijini nyumba yangu Nimezungukwa na mitoto ya kishenzi kila siku kunya upenuni mwa nyumba yangu
Mwambie huyu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Watoto ni malaika.
Siku moja awakaribishe ndani apige nao stori. Watampenda sana na hawatorudi kumchafulia nyumbaMwambie huyu 🤣
Kwakweli afanye hivyo japo aliezoea kazoea dihaSiku moja awakaribishe ndani apige nao stori. Watampenda sana na hawatorudi kumchafulia nyumba
Malaika gani wanakunya mpaka malangoni mwangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Watoto ni malaika.