Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Hahahaa.

Sasa mkuu unataka ulipe ya mwezi mzima, usahili si siku 1 kama hautatoboa written, na ukitoboa kwenda oral zinakuwa siku 3 za kulala huko.

Hahaha, Mkuu kwa watu walioomba nafasi zaidi ya moja sio vibaya wakaweka kambi kabisa Dodoma kuliko gharama za kwenda na kurudi.

Kuna bwanamdogo mmoja amenichekesha sana, yeye aliamua ahamie Dom kimaisha, ili asipitwe na Usaili wowote hata unaotaka mtu mmoja hauachi.
 

Mkuu, Mungu akujazie kheri tutakutafuta.
 
Niko eneo la tukio,nimekuja kufanya survey hapa CIVE.kwa kifupi Lodge ziko nyingi tu kwa sasa. DODOMA.binafsi nimefikia kisasa huko Lodge ya 20k iko poa kabisa.

Kiongozi tunashukuru kwa kutupa ripoti ya moja kwa moja kutoka eneo la tukio.
 

Hahaha, sawa Professor. Nimependa namna umewasilisha ujumbe, umegusa angle zote.
 
Amina,muda huu nimetoka kuwakabidhi rum,wale walioingia leo,ambao wana intavyuu kesho huko CIVE,kwenye ukumbi wa auditorium,loji nyingi zimejaa,ila kwasababu wengi walinihakikishia kua wanakuja... nimefanikiwa kuzuia vyumba na nimewakabidhi.Asanteni.
Daah ubarikiwe sana,hope nami yangu ikifika nitapata msaada wako
 
Hahahaaa, noma sana.

Ina maana kada yake usahili haujawahi kufanyikia kwenye taasisi au mkoani Dar?

Tarehe 10 kuna taasisi sahili zao zinafanyikia Dar na watu wameitwa kuanzia huko Dom tarehe 6 then waje wakinukishe na Dar tarehe 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…