Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Kama unakuja kwenye usaili Dodoma,nicheki kwa maelezo ya wapi loji gani ulale kulingana na sehemu unayofanyia usaili,kuna watu huhangaika,ntakwambia loji gani iko karibu na sehemu sehemu ya usaili,mfano wale wa utumishi,ntakwambia hadi ukumbi uko coleji IPI,na nauli pia.
 
Niko eneo la tukio,nimekuja kufanya survey hapa CIVE.kwa kifupi Lodge ziko nyingi tu kwa sasa. DODOMA.binafsi nimefikia kisasa huko Lodge ya 20k iko poa kabisa.
 
Hiyo CIVE ipo wapi?

Ukitoka mjini kuelekea Ben Mkapa Hospital, utashukia wapi na kuelekea wapi ili ifike CIVE
 
Kama unakuja kwenye usaili Dodoma,nicheki kwa maelezo ya wapi loji gani ulale kulingana na sehemu unayofanyia usaili,kuna watu huhangaika,ntakwambia loji gani iko karibu na sehemu sehemu ya usaili,mfano wale wa utumishi,ntakwambia hadi ukumbi uko coleji IPI,na nauli pia.
Nitafanyia CIVE, nilekeze mtaa wa karibu mfano ile mitaa ya kuelekea UDOM yenye lodge reasonable
 
Nenda loji ya kule Nghonghona,nipigie kwa 0765920855 nikubuukie chumba,bei ya chumba ni 10000,12000 na 15000,nauli kuotoka loji hadi ukumbi ambao usahili utafanyi yaani AUDITORIUM,ni 800 kwa daladala,1000 kwa bajaji,2000 kwa bodaboda,nipigie nikubukie chumba utakachotaka,loji ziko vizuri,usilale Makulu,utapigwa hela nyingi za usafiri,kuna bodaboda ambao siyo waaminifu.Namba nimekuwekea hapo juu.
 
Ahsante kwa muongozo mkuu
 
Lalwni BANTU LODGE bei elf.7 ninpasafi, Round about ya Iringa, Singida, na Arusha jirani na MEDIA COLLEGE,
Na mitaa hiyo zipo za Ten ten,

Au lala BANYLON iko jirani na Japanesse II bei ni 15,
Iki poa katikati kabisa Panaitwa MJI MPYA
Mitaa hiyo vipo vingi vya 15, 15,

Kuna Bar jiran inaitwa Mwanga Bar, kuna VATCAN na wana LIVE band J5 na J1 kuku wa kuchoma

PAMOJA NA WALE KUKU WA KIZUNGU (madada Poa)
Wapo wengi saana mitaa hiyo,
Ni hela yako tu,
UNA LOWEKA, UNA SEPAAAA
 
😂😂😂😂Unataka akaloweke apate sifuri interview hahh
 
Lalwni BANTU LODGE bei elf.7 ninpasafi, Round about ya Iringa, Singida, na Arusha jirani na MEDIA COLLEGE,
Na mitaa hiyo zipo za Ten ten,

Au lala BANYLON iko jirani na Japanesse II bei ni 15,
Iki poa katikati kabisa Panaitwa MJI MPYA
Mitaa hiyo vipo vingi vya 15, 15,

Kuna Bar jiran inaitwa Mwanga Bar, kuna VATCAN na wana LIVE band J5 na J1 kuku wa kuchoma

PAMOJA NA WALE KUKU WA KIZUNGU (madada Poa)
Wapo wengi saana mitaa hiyo,
Ni hela yako tu,
UNA LOWEKA, UNA SEPAAAA
sema round about mbali sana kule usafiri atapata shida
 
Back
Top Bottom