Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Sawa mkuu.Cha msingi uwasiliane nao najua watoto wa kishua wengi hawapawezi nilikaaga pale mimi kibishi so unaweza bahatisha
Hivi CIVE ipo wapi? Karibu na Utumishi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu.Cha msingi uwasiliane nao najua watoto wa kishua wengi hawapawezi nilikaaga pale mimi kibishi so unaweza bahatisha
Piga msuli mkuu kaza sana tafuta nondo nondo za kutosha kihusu chombo kile na current issues zake mungu atakusaidia 🙏Mimi ambaye naenda tarehe 5, nitakuta ishajazwa na watu Bungeni ambao wana usahili siku hiyo
Nadhani huko ni UDOM hautopotea ila utumishi ni tofauti uzuri wa kule ukimshika bajaji yoyote anakuelekeza bajaji zinazoenda maeneo hayo ila vyema ukawahi ili ukacheck mazingira before eventSawa mkuu.
Hivi CIVE ipo wapi? Karibu na Utumishi?
Sawa mkuuNadhani huko ni UDOM hautopotea ila utumishi ni tofauti uzuri wa kule ukimshika bajaji yoyote anakuelekeza bajaji zinazoenda maeneo hayo ila vyema ukawahi ili ukacheck mazingira before event
Sawa mkuu tuombe Mungu afanye wepesiPiga msuli mkuu kaza sana tafuta nondo nondo za kutosha kihusu chombo kile na current issues zake mungu atakusaidia [emoji120]
Sidhani kama inaweza kuwa changamoto ninavyojua mimi wanangali jee anayefanya usaili ndiye mwenyewe ila ngoja waje wengine wakushauri changamoto kama hiyoWakuu halafu hii inshu ya mtu ana vitambulisho ila vina majina matatu japo vyeti vina majina mawili, wanaweza kumgomea asiingie kwenye usaili? ...
Sio changamoto Cha msingi majina hayo yawepo kwenye cheti Cha kuzaliwaWakuu halafu hii inshu ya mtu ana vitambulisho ila vina majina matatu japo vyeti vina majina mawili, wanaweza kumgomea asiingie kwenye usaili? ...
Kitambulisho gani kina majina 2 kati ya wanavyovitaka?Wakuu halafu hii inshu ya mtu ana vitambulisho ila vina majina matatu japo vyeti vina majina mawili, wanaweza kumgomea asiingie kwenye usaili? ...
Kitambulisho gani kina majina 2 kati ya wanavyovitaka?
Hakuna tatizo.Yani miaka ya nyuma mashuleni waliruhusu mtu kutumia majina mawili na akapata vyeti vya NECTA vya majina mawili, ila lilipokuja zoezi la kitambulisho cha NIDA ikahitajika matatu.
Sasa nikawa nahofia watu wa aina hii, NIDA yanaonekana matatu ila vyeti vya elimu mawili, pengine wanaweza kukataa kumtambua.
Kuna usafiri wa kutoka dar to dsm nauli 42 kwenda na kurudi......
Link ya group [emoji116]
![]()
Vuta subira anaandaa muongozoAsante sana Mkuu, naomba utupe maelezo kidogo ili iwe rahisi kujiunga. Kwa mfano, ni gari ya aina gani, ubora wake ni upi, inahitaji watu wangapi, na ni kwa namna gani itakuwa chaguo bora mtu akilinganisha na mengine?