Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Mm nin kak angu huwa nafika ddm ila nalazimik kutafuta guest kwa maana sielewi kwann huwa anipeleki kwake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Maisha ya mjini na watu wake ni zaidi ya uyafikiriayo, kama unamudu gharama ya guest hata ya bei chee, nenda Guest.
 
Mm nin kak angu huwa nafika ddm ila nalazimik kutafuta guest kwa maana sielewi kwann huwa anipeleki kwake

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Mkuu, maisha ya watu yana siri nyingi sana, na nyingine huchagua wabaki nazo ili mambo yaende.

Ndugu wengi wakiafrika huwa tunasifika kwa kutamani watu waishi tunavyotaka sisi sio wao. Ndio maana wengine hawapendi hata ndugu wa karibu wazoee makwao.
 
Ahsante sana mkuu kwa mrejesho, mtie moyo asiogope hawezi kujua lolote laweza kutokea.

Nasikia wanaofika oral wana probability kubwa ya kupata nafasi hata kama hawatapata hiyo nafasi wanayoipambania maana huwa wanawekwa kwenye kanzidata na nafasi zikipatikana wanapangiwa.

Placement ya tarehe 19/7/2022 wote walifaulu oral ila hawakuapata nafasi kwa kipindi hicho na zilipopatikana wakapangiwa vituo.

Kuna jamaa namfahamu kwenye hiyo placement alifanya oral ya NHC ila hakupata nafasi ndipo akaja kupangiwa RUWASA.

Kwa hiyo nguvu iliyopo kwa dogo aielekeze kwenye kujitahidi angalau afike Oral.

Asante sana Mkuu, kumbe hii kitu ipo!

Hata mimi imenipa nguvu sana, maana nilitamani sana wangetoa taarifa zote za Saili alizoomba ili tujue namna ya kujipanga ikiwezekana akae huko huko kwa kipindi chote, kuliko kwenda Dodoma na kurudi. Lakini hilo sioni likienda kutokea.

Angalau hili wazo la kumbe inawezekana Saili ya Taasisi moja ikakupa nafasi Taasisi nyingine.
 
Wazo zuri sana, hili si linamaanisha kupanda malori yale ya IT na magari binafsi?
Hii nouma ilishawahi nicost kuna siku moja nilifanya hivyo ikabidi niishie Manyoni. Ipo hivi nilitoka Kigoma saa nne Asubuhi nikapanda gari ya Tabora nikafika saa moja usiku, Tabora to Nzega nikafika saa nne usiku nikasubiria gari ikaja lorry lilitokea kigali nikapanda gari ilikua haitembei kabisa saa nane usiku jamaa akapak akalala mawazo yalinishika balaa saa moja Asubuhi nipo Manyoni pepa saa moja ikabidi niishie Manyoni nikageuza zangu ujiji.
 
Kwa kuwasaidia kuhusu transport from Dar to Dom ndo sehem yenye Luxury nying kupita sehem yyte tz
Shabiby Online, Kimbinyiko Coach, Abc Classic , Kamwana Vip, Super Baraka, LHM Logistics if not mistake, Appolo, Al Saedy ndo magari ya Dom
Ila ukipenda unaweza panda la Mwanza au Singida yanayokubali naul ya Dom
Lodge depends on area na uwezo , Majengo Sokon kuna lodge kibao, Cbe areas zipo, Maili Mbili , Makulu, Nananane, Chang'ombe, Nkuhungu na sehem yyte tu
Transport zipo Sabasaba to Udom Kule (usafiri wa uma (daladala) hauzid buk)
itategemea na mda
 
WAKUU SANA!

Magari yanayotembea usiku maarufu kama HAKUNA KULALA yanakamatwa kipindi hiki.... nyie mnaofanya USAILI tafadhalini sana.... usipange kuondoka usiku.... UTAKWAMA....!

CHUKUA HATUA
 
Pole sana mkuu. Next time anza safari mapema kwa usafiri wa uhakika ili ufike mapema
 
WAKUU SANA!

Magari yanayotembea usiku maarufu kama HAKUNA KULALA yanakamatwa kipindi hiki.... nyie mnaofanya USAILI tafadhalini sana.... usipange kuondoka usiku.... UTAKWAMA....!

CHUKUA HATUA
Ahsante sana kwa tahadhari mkuu
 
Hello guys. Kwa wakazi wa Moshi kuna usafiri private kwa watu wanne interested.
Bei ni Tshs elfu 60 Go and return.
Tutaondoka jumapili tarehe 4/09/2022 saa moja asubuhi.
PACKAGE INCLUDES:
1.Usafiri kutoka Moshi bus stand saa moja asubuhi ya tarehe 20 hadi Dodoma mjini maeneo ya bunge.
2. Usafiri kutoka Dodoma mjini maeneo ya bunge hadi UDOM ukumbi wa CIVE au kumbi jirani saa kumi na mbili asubuhi (ili kuwahi interview).
3. Usafiri kutoka ukumbi wa interview hadi Dodoma mjini maeneo ya bunge tutakapofikia.
4. Usafiri baada ya matokeo kutoka ( approximately tarehe 6 au 7) kwa wale tutakaofaulu kwenda usaili wa mahojiano kutoka tulipofikia kwenda eneo la usaili wa oral(ofisi za bunge) kwenda na kurudi
5. Baada ya interview usafiri hadi Moshi stand. Kuanzia saa moja asubuhi (siku baada ya matokeo au second interview)
✓Other benefits include:
•Kudiscuss kwenye gari kwa pamoja
•Kusimama popote njiani and other benefits of a private travel.
DM if interested.
MALIPO YANAPOKELEWA KWA MKONO MWISHO SIKU YA JUMAMOSI YA TAREHE 03/09/2022 SAA SITA MCHANA
 
Endapo mmoja wenu hatafaulu kwenda oral, atalazimika kuwasubiri ili mje muondoke pamoja kurudi Moshi?
 
Hii nouma ilishawahi nicost kuna siku moja nilifanya hivyo ikabidi niishie Manyoni. Ipo hivi nilitoka Kigoma saa nne Asubuhi nikapanda gari ya Tabora nikafika saa moja usiku, Tabora to Nzega nikafika saa nne usiku nikasubiria gari ikaja lorry lilitokea kigali nikapanda gari ilikua haitembei kabisa saa nane usiku jamaa akapak akalala mawazo yalinishika balaa saa moja Asubuhi nipo Manyoni pepa saa moja ikabidi niishie Manyoni nikageuza zangu ujiji.

Duh! Pole sana Mkuu, kama ni hivyo basi hii mbinu ina risk kubwa sana, ngoja tutumie machaguo mengine, mpaka endapo hapatakuwa na namna.
 
Kwa kuwasaidia kuhusu transport from Dar to Dom ndo sehem yenye Luxury nying kupita sehem yyte tz
Shabiby Online, Kimbinyiko Coach, Abc Classic , Kamwana Vip, Super Baraka, LHM Logistics if not mistake, Appolo, Al Saedy ndo magari ya Dom
Ila ukipenda unaweza panda la Mwanza au Singida yanayokubali naul ya Dom
Lodge depends on area na uwezo , Majengo Sokon kuna lodge kibao, Cbe areas zipo, Maili Mbili , Makulu, Nananane, Chang'ombe, Nkuhungu na sehem yyte tu
Transport zipo Sabasaba to Udom Kule (usafiri wa uma (daladala) hauzid buk)
itategemea na mda

Asante sana Mkuu, samahani kwa swali la ziada kwa sasa nauli ya Dodoma kwa wastani ni kama kiasi gani? ...
 
Back
Top Bottom