HS CODE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 1,784
- 4,376
- Thread starter
- #21
Kuna vi guesthouse vya kawaida Sana niliwahi fkia mimi sijui km bei zishabadirika ambavyo ni tsh 12, 15 mpaka 10. Moja ipo Hazina Dodoma inaitwa Makuna nyingine inaitwa kivulini ipo Makole zote zipo Dodoma mjini. Pia ukitaka lodge zenye kamuonekano kidogo kwa Dodoma ni 25 nk tena zipo katikati ya mji Moja inaitwa Pahi hotel (ni ghorofa) nyingine,kenya lodge nk.
B, pamoja na kuwa na roho nzuri, una kila ishara ya kuwa na uwezo mkubwa wa akili. Umetoa ufafanuzi mzuri sana. Asante.