moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
Babe ninakaswali kwakoKuna nafasi 6 zinapambaniwa na watu 2455.
Nafasi zingine ni 1, 2 au 3. Wanaozipambania pia wanafika zaidi 300+kwa kila nafasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Babe ninakaswali kwakoKuna nafasi 6 zinapambaniwa na watu 2455.
Nafasi zingine ni 1, 2 au 3. Wanaozipambania pia wanafika zaidi 300+kwa kila nafasi
Kisasa mbali kote huko kiongozi ngoja tuende makuluNiko eneo la tukio,nimekuja kufanya survey hapa CIVE.kwa kifupi Lodge ziko nyingi tu kwa sasa. DODOMA.binafsi nimefikia kisasa huko Lodge ya 20k iko poa kabisa.
Karibu sana, uliza nitakupa muongozo kama nitawezaBabe ninakaswali kwako
Hiyo CIVE ipo wapi?Niko eneo la tukio,nimekuja kufanya survey hapa CIVE.kwa kifupi Lodge ziko nyingi tu kwa sasa. DODOMA.binafsi nimefikia kisasa huko Lodge ya 20k iko poa kabisa.
Njoo kuleKaribu sana, uliza nitakupa muongozo kama nitaweza
Nitafanyia CIVE, nilekeze mtaa wa karibu mfano ile mitaa ya kuelekea UDOM yenye lodge reasonableKama unakuja kwenye usaili Dodoma,nicheki kwa maelezo ya wapi loji gani ulale kulingana na sehemu unayofanyia usaili,kuna watu huhangaika,ntakwambia loji gani iko karibu na sehemu sehemu ya usaili,mfano wale wa utumishi,ntakwambia hadi ukumbi uko coleji IPI,na nauli pia.
Cive ni college ya informatics unapanda gari za college ya education(ng'ong'ona) ,ukifika sabasaba utazikutaNitafanyia CIVE, nilekeze mtaa wa karibu mfano ile mitaa ya kuelekea UDOM yenye lodge reasonable
Nenda loji ya kule Nghonghona,nipigie kwa 0765920855 nikubuukie chumba,bei ya chumba ni 10000,12000 na 15000,nauli kuotoka loji hadi ukumbi ambao usahili utafanyi yaani AUDITORIUM,ni 800 kwa daladala,1000 kwa bajaji,2000 kwa bodaboda,nipigie nikubukie chumba utakachotaka,loji ziko vizuri,usilale Makulu,utapigwa hela nyingi za usafiri,kuna bodaboda ambao siyo waaminifu.Namba nimekuwekea hapo juu.Nitafanyia CIVE, nilekeze mtaa wa karibu mfano ile mitaa ya kuelekea UDOM yenye lodge reasonable
Ukimwambia boda anakufikisha vizuri tuHiyo CIVE ipo wapi?
Ukitoka mjini kuelekea Ben Mkapa Hospital, utashukia wapi na kuelekea wapi ili ifike CIVE
Ahsante kwa muongozo mkuuNenda loji ya kule Nghonghona,nipigie kwa 0765920855 nikubuukie chumba,bei ya chumba ni 10000,12000 na 15000,nauli kuotoka loji hadi ukumbi ambao usahili utafanyi yaani AUDITORIUM,ni 800 kwa daladala,1000 kwa bajaji,2000 kwa bodaboda,nipigie nikubukie chumba utakachotaka,loji ziko vizuri,usilale Makulu,utapigwa hela nyingi za usafiri,kuna bodaboda ambao siyo waaminifu.Namba nimekuwekea hapo juu.
😂😂😂😂Unataka akaloweke apate sifuri interview hahhLalwni BANTU LODGE bei elf.7 ninpasafi, Round about ya Iringa, Singida, na Arusha jirani na MEDIA COLLEGE,
Na mitaa hiyo zipo za Ten ten,
Au lala BANYLON iko jirani na Japanesse II bei ni 15,
Iki poa katikati kabisa Panaitwa MJI MPYA
Mitaa hiyo vipo vingi vya 15, 15,
Kuna Bar jiran inaitwa Mwanga Bar, kuna VATCAN na wana LIVE band J5 na J1 kuku wa kuchoma
PAMOJA NA WALE KUKU WA KIZUNGU (madada Poa)
Wapo wengi saana mitaa hiyo,
Ni hela yako tu,
UNA LOWEKA, UNA SEPAAAA
sema round about mbali sana kule usafiri atapata shidaLalwni BANTU LODGE bei elf.7 ninpasafi, Round about ya Iringa, Singida, na Arusha jirani na MEDIA COLLEGE,
Na mitaa hiyo zipo za Ten ten,
Au lala BANYLON iko jirani na Japanesse II bei ni 15,
Iki poa katikati kabisa Panaitwa MJI MPYA
Mitaa hiyo vipo vingi vya 15, 15,
Kuna Bar jiran inaitwa Mwanga Bar, kuna VATCAN na wana LIVE band J5 na J1 kuku wa kuchoma
PAMOJA NA WALE KUKU WA KIZUNGU (madada Poa)
Wapo wengi saana mitaa hiyo,
Ni hela yako tu,
UNA LOWEKA, UNA SEPAAAA
Nghongona ni jirani,loji nzuri na ni gharama ndogo,hata usafiri ni rahisi.Ila kama mtu yuko vizuri kiuchumi,alale anakotaka,na atasafiri kwa gharama wanazotaka madereva Bajaji na bodaboda.sema round about mbali sana kule usafiri atapata shida
KweliNghongona ni jirani,loji nzuri na ni gharama ndogo,hata usafiri ni rahisi.Ila kama mtu yuko vizuri kiuchumi,alale anakotaka,na atasafiri kwa gharama wanazotaka madereva Bajaji na bodaboda.