makofia360
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 776
- 2,392
Usisahau vitunguu mkuu kunibebea na viaziSawa mkuu.
Mimi ndio naingia Msamvu hivi punde
Hahahaa, hela imeishia kwenye lodge aiseeUsisahau vitunguu mkuu kunibebea na viazi
Ahahah utaliii wa ndaniHahahaa, hela imeishia kwenye lodge aisee
Narudi kujipanga tena, nina trip nyingine tena tarehe 23.
Utumishi wanatufanyisha Royo Tua..
ππππHahahaa, hela imeishia kwenye lodge aisee
Narudi kujipanga tena, nina trip nyingine tena tarehe 23.
Utumishi wanatufanyisha Royo Tua..
Wengine huenda tusingesafiri hadi mwaka unapinduka isingekuwa UtumishiAhahah utaliii wa ndani
Acha tutalii tu mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππSema utumishi watakuja watuue hawaAcha tutalii tu mkuu
Tukutane DUCE mkuu, tukajaribu tena.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sema utumishi watakuja watuue hawa
Muda wenyewe wakujiandaa haupo yani ,sema fresh kesho kutwa mzigoni kama kawaidaTukutane DUCE mkuu, tukajaribu ten
Nafurahi sana nikiona watu wanapambana hawalazi damu inapendeza sanaMuda wenyewe wakujiandaa haupo yani ,sema fresh kesho kutwa mzigoni kama kawaida
acha tupambane maisha ndo haya haya mkuuNafurahi sana nikiona watu wanapambana hawalazi damu inapendeza sana
Vizuri na sisi tunaisubiri placement isiyojulikana inachiwa lini,,,ingawaje tuna received pia tunasubiriacha tupambane maisha ndo haya haya mkuu
πππUzuri interview za utumishi ikikukanda tu unajua pale pale yani kwamba hapa nimeingia geto la popo bawaHahaha, nimecheka sana. Mkuu na kipaji cha Comedy unacho. Kwamba wamekukanda vibaya sana.
Morena wanalipa kwa dola hiyoππππππhuyo naona Hana uzoefu na interview za utumishiMkuu, hizi gharama zake ni kiasi gani? Msaada tafadhali.
Hahahaa, hela imeishia kwenye lodge aisee
Narudi kujipanga tena, nina trip nyingine tena tarehe 23.
Utumishi wanatufanyisha Royo Tua..
πππππalipigwa chai na maji ya Moto akasahau kama utumishi wapo hahhhHahaha, nimecheka kwa nguvu. Kwamba jamaa wanafanyisha royo tua hata kama hukutaka kutalii.
Naona Mkuu, ukabahatika kupata na sehemu unachemshiwa maji ya kuoga na kupewa kifungua kinywa cha nguvu, Hahaha.
[emoji23][emoji23][emoji23]Uzuri interview za utumishi ikikukanda tu unajua pale pale yani kwamba hapa nimeingia geto la popo bawa