HS CODE
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 1,784
- 4,376
- Thread starter
- #501
Wakuu wakati tunasubiri wengine wenye maelekezo ya sehemu za kulala Dodoma naomba tupeane maarifa kwa wenye uzoefu.
Ni hivi, kuna zile nafasi za Ofisi za CAG yaani NAOT nilisikia madogo wanalalamika, nafasi ilihitaji mtu mwenye Bachelor ya Tax Management ila kuna mtu ana Bachelor ya Science in Taxation. Hawa watu wanachosoma darasani kiuhalisia kinafanana ila utofauti uko kwenye naming iliyofanywa na vyuo tofauti kwa programu husika.
Najiuliza huyu mtu mwenye jina lenye tofauti ndogo, akabadili mfumo kidogo, kisha akaitwa, je akifika getini watamzuia kwa sababu ya utofauti wa jina wakati walichosoma ni kimoja!?