[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alishika shavu tu nikasema tayari nshajikaanga apa
Tips za oral zikoje mkuu tujifunze chochoteNishatoka kukandwa na oral sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni maswali ya application zaidi kwasisi wa radiation equipmentTips za oral zikoje mkuu tujifunze chochote
1.uliulizwa maswali yepi, mangapi, yalibase wapi?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Maswali kama kumi iviTips za oral zikoje mkuu tujifunze chochote
1.uliulizwa maswali yepi, mangapi, yalibase wapi?
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hongera sana, umefika hadi oral umeupiga mwingi.Nishatoka kukandwa na oral sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
sawa mkuuNi maswali ya application zaidi kwasisi wa radiation equipment
Sijajua course zingine
πππππ Unaonekana kwa mbali sanaaa mkuu yani nauona kwa binocular kiongoziHongera sana, umefika hadi oral umeupiga mwingi.
Uwezekano wa kuingia kwenye mrija si umeanza kuonekana?
Ndio hivyo kiongozi humu ni changanyikeni tu kama kilabuniπππππAisee humu Jamiiforums tuko watu wa aina nyinyi na nyingine za kutisha sana. Kumbe wewe ni mtaalamu wa masuala ya mionzi.
Hongera sana Mkuu.
ππππIlikua orci wakati huu niliwakanda waliingia geto la popo bawaDuh! Mkuu, kumbe mambo yanaendelea? Walikuwa wanakukanda Oral ya nafasi na taasisi gani?
Kada zote walizotangaza TAWIRI .mchujo umepggwa IAA. pale njiro but jamaa wanapaper ngumu balaaaaLeo kulikua na mchujo kada gan?
Mkuu yale maswali wala hayaelewek ujibu vip yani[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Duuuh kwamba nowadays mkando tu Duuuh. Hawa jamaa huwa maswali yao yanabase haswa wapi na kwa wale WA written Yale maswali huwa unaandika tu point, essay, briefly, au ujibuje ili utoboe written kwa muda WA dakika zao umalize. Majibu wadau nawasilisha
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Pitia hapo juu nimeeleza kidogo kwa uzoefu wangu nilivyoonaMkuu yale maswali wala hayaelewek ujibu vip yani
Na hata salary scales zao ni kubwa,Kada zote walizotangaza TAWIRI .mchujo umepggwa IAA. pale njiro but jamaa wanapaper ngumu balaaaa
Hongera sana mkuu, sasa maombi yaelekeze kwenye placement.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unaonekana kwa mbali sanaaa mkuu yani nauona kwa binocular kiongozi
Hahahahaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ilikua orci wakati huu niliwakanda waliingia geto la popo bawa
Ikawe heri kiongozi hawa ukipata nafasi yakuwakanda wakande kweli kweli mpaka wajiulizeHongera sana mkuu, sasa maombi yaelekeze kwenye placement.
Usiache kutuombea na wengine tunaopambana ili angalau tuvuke daraja la kukandwa kwa maandishi
ππππhii niliwakanda mpaka nikajiuliza hizi akili nimetoa wapi mimi?Hahahahaa.
Mimi nilikandamizwa zaidi ya kule DOM, nilipotoka kwenye pepa nikarudi kitaa kuendelea na mishe zingine.