Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alishika shavu tu nikasema tayari nshajikaanga apa

Ndio maana mimi nikiwa kwenye mitihani yoyote, huwa siamshi kichwa ili nisijekutana na vinavyokatisha tamaa. Nadili na pepa kiasi cha kutojua hata vitu gani vilikuwa vinaendelea chumba cha mtihani.
 
Nishatoka kukandwa na oral sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hongera sana, umefika hadi oral umeupiga mwingi.

Uwezekano wa kuingia kwenye mrija si umeanza kuonekana?
 
Nishatoka kukandwa na oral sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Duh! Mkuu, kumbe mambo yanaendelea? Walikuwa wanakukanda Oral ya nafasi na taasisi gani?
 
Ni maswali ya application zaidi kwasisi wa radiation equipment
Sijajua course zingine

Aisee humu Jamiiforums tuko watu wa aina nyinyi na nyingine za kutisha sana. Kumbe wewe ni mtaalamu wa masuala ya mionzi.

Hongera sana Mkuu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Duuuh kwamba nowadays mkando tu Duuuh. Hawa jamaa huwa maswali yao yanabase haswa wapi na kwa wale WA written Yale maswali huwa unaandika tu point, essay, briefly, au ujibuje ili utoboe written kwa muda WA dakika zao umalize. Majibu wadau nawasilisha

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu yale maswali wala hayaelewek ujibu vip yani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Unaonekana kwa mbali sanaaa mkuu yani nauona kwa binocular kiongozi
Hongera sana mkuu, sasa maombi yaelekeze kwenye placement.

Usiache kutuombea na wengine tunaopambana ili angalau tuvuke daraja la kukandwa kwa maandishi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ilikua orci wakati huu niliwakanda waliingia geto la popo bawa
Hahahahaa.

Mimi nilikandamizwa zaidi ya kule DOM, nilipotoka kwenye pepa nikarudi kitaa kuendelea na mishe zingine.
 
Hongera sana mkuu, sasa maombi yaelekeze kwenye placement.

Usiache kutuombea na wengine tunaopambana ili angalau tuvuke daraja la kukandwa kwa maandishi
Ikawe heri kiongozi hawa ukipata nafasi yakuwakanda wakande kweli kweli mpaka wajiulize
 
Back
Top Bottom