Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Wadau mpo kimya kulikoni.

Updates za accomodations za gharama nafuu zimeisha?

Watu tulikuwa tunalalamika, oooh Utumishi hawaiti, sijui kuna nini, labda tusubiri wiki ijayo, au labda ni hii Sensa acha ipite .... Utumishi wakasema sawa tumesikia kilio chenu, anzeni kuja mmoja mmoja .... hahaha nilitegemea malalamiko yangekuwa yameisha ila kwa sasa yanaendelea japo tumeyageuza kidogo na hatuna confidence ya kutetea hoja zetu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wameshakandwa huko tayari

Hahaha, usikute baadhi wanatamani ni bora walivyokuwa wanasubiri kwa sababu kuna matumaini yalikuwepo kwamba kuna mchongo wa bungeni nausikilizia, au wa DUCE, au wa Mamlaka ya viwanja vya ndege. Ila kwa sasa ni kwamba unajua ule mchongo haunihusu tena.
 
Watu tulikuwa tunalalamika, oooh Utumishi hawaiti, sijui kuna nini, labda tusubiri wiki ijayo, au labda ni hii Sensa acha ipite .... Utumishi wakasema sawa tumesikia kilio chenu, anzeni kuja mmoja mmoja .... hahaha nilitegemea malalamiko yangekuwa yameisha ila kwa sasa yanaendelea japo tumeyageuza kidogo na hatuna confidence ya kutetea hoja zetu.
Hahahhaa, PSRS wamejua kutunyamazisha sana.

Yaani wanatudhihirishia jinsi mirija ya Asali isivyokuwa na lelemama.

Kila matokeo yakitoka kila mtu anaugulia baridi la kukandwa peke yake
 
Hahaha, usikute baadhi wanatamani ni bora walivyokuwa wanasubiri kwa sababu kuna matumaini yalikuwepo kwamba kuna mchongo wa bungeni nausikilizia, au wa DUCE, au wa Mamlaka ya viwanja vya ndege. Ila kwa sasa ni kwamba unajua ule mchongo haunihusu tena.
😂😂😂😂 Utumishi sio watu wale
 
Hahahhaa, PSRS wamejua kutunyamazisha sana.

Yaani wanatudhihirishia jinsi mirija ya Asali isivyokuwa na lelemama.

Kila matokeo yakitoka kila mtu anaugulia baridi la kukandwa peke yake

Hahaha, kabisa Mkuu.
 
Kunakoelekea itabidi huu uzi wetu tuubadilishe uwe unaita watu watuunganishe na maeneo ya kulala kwenye usaili wa mikoa yote Tanzania.

Nimeona kwa sasa saili zinaanza kusambaa mikoa tofauti.
 
Sahili za Vyuo na taasisi kubwa kubwa ndio nimeona zinaenda kwenye taasisi husika.

Zile taasisi ndogo bado zinarundikwa Dom
 
Taasisi za vyuo mishahara ya watumishi wao sii inapitia hazina mkuu? Ni juavyo mimi taasisi za kijeshi na Chini ya Ofisi ya Rais ndiyo PSRS hawasimamii sijui kama nipo sahihi? Kwahiyo taasisi inaomba kibali cha ajira utumishi wanatangaza na kusimamia nijuavyo
 
Kama wewe unaziona dalili za kutimba Dodoma mara nyingi kwa ajili ya sahili za utumishi,
Kitu cha kufanya ni kutengeneza ukaribu mzuri na mtu/watu wa Dodoma ili kupata sapoti ya malazi hata kama ni maeneo ya uswahilini.

Ikiwa utalala siku 3 mfululizo, utaokoa karibia 60,000/- ambayo itafaa kwa nauli.
Hii ni kwa majobless.
 
Mimi pia hili sijui mkuu
 
Licha ya hivyo kuna guest za bei ndogo tu.

Pitia kwenye uzi ule utaona
 
Back
Top Bottom