Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wameshakandwa huko tayari
Noma sana aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wameshakandwa huko tayari
Wadau mpo kimya kulikoni.
Updates za accomodations za gharama nafuu zimeisha?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wameshakandwa huko tayari
Umekandwa mkuu[emoji15]Kesho nirudi kwetu dadeki [emoji23][emoji23]
Hahahhaa, PSRS wamejua kutunyamazisha sana.Watu tulikuwa tunalalamika, oooh Utumishi hawaiti, sijui kuna nini, labda tusubiri wiki ijayo, au labda ni hii Sensa acha ipite .... Utumishi wakasema sawa tumesikia kilio chenu, anzeni kuja mmoja mmoja .... hahaha nilitegemea malalamiko yangekuwa yameisha ila kwa sasa yanaendelea japo tumeyageuza kidogo na hatuna confidence ya kutetea hoja zetu.
😂😂😂😂 Utumishi sio watu waleHahaha, usikute baadhi wanatamani ni bora walivyokuwa wanasubiri kwa sababu kuna matumaini yalikuwepo kwamba kuna mchongo wa bungeni nausikilizia, au wa DUCE, au wa Mamlaka ya viwanja vya ndege. Ila kwa sasa ni kwamba unajua ule mchongo haunihusu tena.
Sahili za Vyuo na taasisi kubwa kubwa ndio nimeona zinaenda kwenye taasisi husika.Kunakoelekea itabidi huu uzi wetu tuubadilishe uwe unaita watu watuunganishe na maeneo ya kulala kwenye usaili wa mikoa yote Tanzania.
Nimeona kwa sasa saili zinaanza kusambaa mikoa tofauti.
Taasisi za vyuo mishahara ya watumishi wao sii inapitia hazina mkuu? Ni juavyo mimi taasisi za kijeshi na Chini ya Ofisi ya Rais ndiyo PSRS hawasimamii sijui kama nipo sahihi? Kwahiyo taasisi inaomba kibali cha ajira utumishi wanatangaza na kusimamia nijuavyoSahili za Vyuo na taasisi kubwa kubwa ndio nimeona zinaenda kwenye taasisi husika.
Zile taasisi ndogo bado zinarundikwa Dom
Mapema sanaUmekandwa mkuu[emoji15]
DomHahaha, Mkuu unarudi kutokea Dom au ni saili za mikoani?
Mimi pia hili sijui mkuuTaasisi za vyuo mishahara ya watumishi wao sii inapitia hazina mkuu? Ni juavyo mimi taasisi za kijeshi na Chini ya Ofisi ya Rais ndiyo PSRS hawasimamii sijui kama nipo sahihi? Kwahiyo taasisi inaomba kibali cha ajira utumishi wanatangaza na kusimamia nijuavyo
Licha ya hivyo kuna guest za bei ndogo tu.Kama wewe unaziona dalili za kutimba Dodoma mara nyingi kwa ajili ya sahili za utumishi,
Kitu cha kufanya ni kutengeneza ukaribu mzuri na mtu/watu wa Dodoma ili kupata sapoti ya malazi hata kama ni maeneo ya uswahilini.
Ikiwa utalala siku 3 mfululizo, utaokoa karibia 60,000/- ambayo itafaa kwa nauli.
Hii ni kwa majobless.
Kuteleza sio kuanguka, na ukianguka kuinuka au kutokuinuka ni chaguo lako.Mapema sana