Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Habari mkuu, mimi nimeitwa usaili Dodoma. Ni mgeni kabisa Dodoma.

Usaili unafanyikia Royal Village Hotel.

Naomba nisaidie guest ya bei chee ya kufikia.

Na pia kufahamu Royal Village Hotel ipo mtaa gani?
 
Ipo ya 12K(self) karibu na Msikiti wa Gadafi/Chako ni Chako

Inaitwa Seja Guest

Hii self ya price hiyo sijui itakuwaje! Naona bei ni ndogo sana, sio zile ambazo chumba kizima kinatoa harufu kama chooni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…