Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari mkuu, mimi nimeitwa usaili Dodoma. Ni mgeni kabisa Dodoma.Kama unakuja kwenye usaili Dodoma,nicheki kwa maelezo ya wapi loji gani ulale kulingana na sehemu unayofanyia usaili,kuna watu huhangaika,ntakwambia loji gani iko karibu na sehemu sehemu ya usaili,mfano wale wa utumishi,ntakwambia hadi ukumbi uko coleji IPI,na nauli pia.
Tafuta lodge inaitwa Galilaya ipo makole bei ni 15,000/-Habari mkuu, mimi nimeitwa usaili Dodoma. Ni mgeni kabisa Dodoma.
Usaili unafanyikia Royal Village Hotel.
Naomba nisaidie guest ya bei chee ya kufikia.
Na pia kufahamu Royal Village Hotel ipo mtaa gani?
Duh hakuna ya 10k mkuu?Tafuta lodge inaitwa Galilaya ipo makole bei ni 15,000/-
Ziendelee bana ili muwe mnakuja kutusalimia Wakazi wa Dom[emoji3][emoji3][emoji3]Ni kweli Mkuu, naona interview hizi za kikanda zikiendelea zitapunguza umuhimu wa Dodoma.
Ipo ya 12K(self) karibu na Msikiti wa Gadafi/Chako ni ChakoDuh hakuna ya 10k mkuu?
Je, makole ni jirani na royal village hotel?
Asante sana mkuu for concern.
Asante sana mkuu.Ipo ya 12K(self) karibu na Msikiti wa Gadafi/Chako ni Chako
Inaitwa Seja Guest
Hongera sana mkuu, kumbe ulipata kazi Dodoma 👏Ziendelee bana ili muwe mnakuja kutusalimia Wakazi wa Dom[emoji3][emoji3][emoji3]
Gari za Dodoma to Dar zipo mpaka saa ngapi?Hapa nafikiria kesho sijui watayatoa jioni mida ya saa ngapi ili niweze kuondoka moja kwa moja
Ata saa 12 jion gar unapata enda CBE pale utapata gariGari za Dodoma to Dar zipo mpaka saa ngapi?
Unaweza maliza usaili saa 10 jioni na ukapata gari ya kurudi Dar muda huo?
Asante sana ubarikiweAta saa 12 jion gar unapata enda CBE pale utapata gari
Hata saa nane usiku unapata gariGari za Dodoma to Dar zipo mpaka saa ngapi?
Unaweza maliza usaili saa 10 jioni na ukapata gari ya kurudi Dar muda huo?
Kama ni saa kumi na mbili bora tu uende nane nane utapata mabasi mengi tu yanayotoka mikoa ya mbaliAta saa 12 jion gar unapata enda CBE pale utapata gari
Okay nimechukua huu ushauri wako.Kama ni saa kumi na mbili bora tu uende nane nane utapata mabasi mengi tu yanayotoka mikoa ya mbali
Ni kukomaa tu mkuu ilimradi kukuche uwe eneo la tukio.Hii self ya price hiyo sijui itakuwaje! Naona bei ni ndogo sana, sio zile ambazo chumba kizima kinatoa harufu kama chooni?