Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Kama unakuja kwenye usaili Dodoma,nicheki kwa maelezo ya wapi loji gani ulale kulingana na sehemu unayofanyia usaili,kuna watu huhangaika,ntakwambia loji gani iko karibu na sehemu sehemu ya usaili,mfano wale wa utumishi,ntakwambia hadi ukumbi uko coleji IPI,na nauli pia.
Habari mkuu, mimi nimeitwa usaili Dodoma. Ni mgeni kabisa Dodoma.

Usaili unafanyikia Royal Village Hotel.

Naomba nisaidie guest ya bei chee ya kufikia.

Na pia kufahamu Royal Village Hotel ipo mtaa gani?
 
Ipo ya 12K(self) karibu na Msikiti wa Gadafi/Chako ni Chako

Inaitwa Seja Guest

Hii self ya price hiyo sijui itakuwaje! Naona bei ni ndogo sana, sio zile ambazo chumba kizima kinatoa harufu kama chooni?
 
Back
Top Bottom