Eng. Zezudu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 8,024
- 11,546
Nijiandae kwenda Dodoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
All the best hnyKesho natinga Dom, nitakushikia room usiwe na shaka kwa hilo
Amina,muda huu nimetoka kuwakabidhi rum,wale walioingia leo,ambao wana intavyuu kesho huko CIVE,kwenye ukumbi wa auditorium,loji nyingi zimejaa,ila kwasababu wengi walinihakikishia kua wanakuja... nimefanikiwa kuzuia vyumba na nimewakabidhi.Asanteni.
Hahahaaa, noma sana.
Ina maana kada yake usahili haujawahi kufanyikia kwenye taasisi au mkoani Dar?
Tarehe 10 kuna taasisi sahili zao zinafanyikia Dar na watu wameitwa kuanzia huko Dom tarehe 6 then waje wakinukishe na Dar tarehe 10
Hapana,hawalipii wao,ila watu wa loji kuna màlipo hunipa kwa kuwapelekea wateja.Tunashukuru sana Mkuu, ili na wengine waweze kukutafuta kwa wingi, hii huduma unaifanya bure au kuna malipo kidogo wanachangia?
Hapana mkuu, ni za watu wa kawaida ikiwemo mimi ni miongoniHahaha, hizo za mikoa mingine sio za wenye maGPA makubwa? Kama ndizo huwa hazimuhusu, na kwa hesabu zake zinazomtoa Dodoma ni chache kuliko zinazombakiza.
Umepata ya sh ngapi?Nimefika makulu hapa namshukuru mungu Nimepata gesti japo haka kamtaa gest za lodge zake zipo juu sana
Nimepata kwa buku 8 bt mboga 7 hii gesti wala haiwafai hii ni kwa ajili ya sisi tuliokopa nauliUmepata ya sh ngapi?
Mimi nimepata ya 25k huku mjini karibi na General Hospital, nitadamka mapema nianze kuhustle usafiri
Nahisi ndiyo lodge ninayofikiaga mimi hiyoNimepata kwa buku 8 bt mboga 7 hii gesti wala haiwafai hii ni kwa ajili ya sisi tuliokopa nauli
nenda uzi wa mpwayungu village sehemu za kulala kama pesa huna
Nahisi kama siyo lodge ninayofikia mimi nikienda kwenye saili,,,Kitanda kidogo,,hamna feni,,,chandarua unafunga funga,,,hapo kwa wabishi tu buku saba hadi nane unalala fresh ila umeme upo nahisi ndiyo hapo,,,nahisi ndiyo hapo kama sijakoseaDuh! Ikoje hiyo Mkuu? Choo kibovu, madirisha hakuna, usalama mdogo au shida yake ni ipi hasa?