Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale huwa wanasahisha ila wanafata majibu yao tu yani ukileta maelezo sijui nini hawaelewi kabisa wanachotaka kama hapa ni maembe andika maembe ukiandika sijui matunda wanakula kichwa tuHahaha, hivi lakini Mkuu wewe huwa unaimani kabisa kwamba ni kweli huwa wanasaisha karatasi moja moja?
😂😂😂Anakunywa chai huku roho inauma sanaaaaHahaha, kama namuona Mkuu namna alivyokuwa anapata huduma nzuri huku roho inauma kwenye kuzilipia.
Morena wanalipa kwa dola hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo naona Hana uzoefu na interview za utumishi
Usisahau usiku usilale mwenyewe uvute na take away ili ukachangamke kwenye mtihaniKwa anayezijua guest house za Buku Tano kwa Dodoma,
Anijuze.
Watu tunataka kwenda kwenye usaili jamani.
Pamoja na mateso yote wakuu, aliyesoma kasoma. Afadhali ya wewe unayeteseka muda huu, lakini matumaini ya kesho yako kubadilika ghafla ni makubwa.
Usisahau usiku usilale mwenyewe uvute na take away ili ukachangamke kwenye mtihani
Uhindini ,keko ,cda , chako ni chako , pestana nenda pale malaika pub karib na shabiby bus terminal au sogea rainbow ukishindwa basi nenda waswanu pub usipopata utakuwa ni bahili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahhhh umefanya nicheke sana mkuu daaah unaziokoteaga wapi aiseeeh sio bei ipo juu sana?
[emoji2]za wanyonge pia zipoTake away zina bei sana pale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nishaanza kufukua madesa hapa.Muda wenyewe wakujiandaa haupo yani ,sema fresh kesho kutwa mzigoni kama kawaida
Mwenyewe nilimtafuta siku ya J3 akawa hapatikani baadae akawa anasema humu huenda alilala au alikuwa anabadili line.Jamani yule wa lodge Dom mbona hapatikani tena kwenye simu?? Chitoholi
😂😂😂😂😂😂Mkuu umetalii sana mji wakiserikali hahhhh kuna mwamba jana kaingia na pisi kaiwashia Moto afu akasinzia kuja kuamuka imeondoka na walletUhindini ,keko ,cda , chako ni chako , pestana nenda pale malaika pub karib na shabiby bus terminal au sogea rainbow ukishindwa basi nenda waswanu pub usipopata utakuwa ni bahili
Kuongezea
Mwanga bar
Maisha club
Usisahau kutumia dhana
Utumishi wamesabibisha sana mimi kutalii huu mji
duuuh wameuliza nini kwenye oral??au madesa ya darasani tu??Nishaanza kufukua madesa hapa.
Pepa ya juzi ilikuja General ndani ya professional huku mimi nilijiandaa kulingana na majukumu ya mwajiri, nilichokikuta ndani nikapigwa na butwaa.
Hivyo hivyo walioenda oral wanasema wanaulizwa mambo mengine hata job description haijagushwa.
Sasa hapa inabidi nijiandae kwa ujumla huku mambo ni mengi hatari.
Mrija wa Asali kuufikia sio kazi rahisi aisee..
Huko zimechangamka mkuu.Mkuu, hizi gharama zake ni kiasi gani? Msaada tafadhali.
Hahahaa, jana si ilikuwa siku ya kusubiri matokeo, niliamka mida ya saa 3 asubuhi, kwenda kujimwagia maji nikatungua koki ya hot water, asalaleee kumbe maji yalifika Farenheit 212, si nikachomwa mwili[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3], nikaamua kufungua koki na Cold water zikaenda simultenously ndipo yakapozwa nikaendelea kuyafurahiaHahaha, nimecheka kwa nguvu. Kwamba jamaa wanafanyisha royo tua hata kama hukutaka kutalii.
Naona Mkuu, ukabahatika kupata na sehemu unachemshiwa maji ya kuoga na kupewa kifungua kinywa cha nguvu, Hahaha.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alipigwa chai na maji ya Moto akasahau kama utumishi wapo hahhh