Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Nimebakisha written moja tarehe 24, naenda kujaribu tena.Ikawe heri kiongozi hawa ukipata nafasi yakuwakanda wakande kweli kweli mpaka wajiulize
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimebakisha written moja tarehe 24, naenda kujaribu tena.Ikawe heri kiongozi hawa ukipata nafasi yakuwakanda wakande kweli kweli mpaka wajiulize
Hahahaaa, uliwaotea sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hii niliwakanda mpaka nikajiuliza hizi akili nimetoa wapi mimi?
Ndio hivyo kiongozi humu ni changanyikeni tu kama kilabuni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ilikua orci wakati huu niliwakanda waliingia geto la popo bawa
Oral ilinikua ngumu kiasi mengine unashindwa chakujibu lakini fresh tuHahaha, hii inatia moyo sana. Inabidi kutokata tamaa, kumbe inawezekana mtihani huu wakakukanda na ujao ukakaza ukawakanda wao na kwenda hatua inayofuata.
Vipi lakini Oral ilikujia vipi?
Kabisa kabisaKweli nimeamini, na linapokuja kwenye kuanzisha au kuchangia mada za kitaaluma kuna haja watu tuongeze umakini sana.
Kwa sababu mtu anaweza kuongea kitu asichokijua vizuri kumbe kuna watu waliobobea vya kutosha kwenye eneo husika akaishia kujiaibisha.
huyo hajabobea vya kutosha, kubobea vya kutosha ni hadi ufanye super specialization i.e PhD (Doctor of Philosophy ).Kweli nimeamini, na linapokuja kwenye kuanzisha au kuchangia mada za kitaaluma kuna haja watu tuongeze umakini sana.
Kwa sababu mtu anaweza kuongea kitu asichokijua vizuri kumbe kuna watu waliobobea vya kutosha kwenye eneo husika akaishia kujiaibisha.
Ahsante mkuu.Amen, Mkuu. Namimi kwenye sala zangu naliweka hili. Utapita tu.
Taasisi gani?Nimebakisha written moja tarehe 24, naenda kujaribu tena.
Ahsante mkuu.
Hivi CBSL ipo karibu na CIVE kule UDOM?
MuhimbiliTaasisi gani?
Sawa mkuu, turudi tena basi Dom au wewe ushahitimisha kukandwa[emoji3][emoji3][emoji3]Ni college ya business ipo kabla hujafika majengo ya rose migiro kule utumishi
😂😂😂😂😂 Hahahaha nasubiria moja ya Arusha na open universitySawa mkuu, turudi tena basi Dom au wewe ushahitimisha kukandwa[emoji3][emoji3][emoji3]
Zitafanyika lini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hahahaha nasubiria moja ya Arusha na open university
Mbona Open walishafanya mwezi uliopita? kuna zingine ambazo bado?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hahahaha nasubiria moja ya Arusha na open university
Bado zingine kiongoziMbona Open walishafanya mwezi uliopita? kuna zingine ambazo bado?