political Engineer 2
JF-Expert Member
- Oct 9, 2014
- 295
- 792
Kwa Nini msilale hostel za kanisa zipo mjini pale, au hostel za VETA nazo zipo hapo mjini, kama hizo hamtaki nenda Chinise lodge, Paris lodge nk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wewe unaziona dalili za kutimba Dodoma mara nyingi kwa ajili ya sahili za utumishi,
Kitu cha kufanya ni kutengeneza ukaribu mzuri na mtu/watu wa Dodoma ili kupata sapoti ya malazi hata kama ni maeneo ya uswahilini.
Ikiwa utalala siku 3 mfululizo, utaokoa karibia 60,000/- ambayo itafaa kwa nauli.
Hii ni kwa majobless.
Kwa Nini msilale hostel za kanisa zipo mjini pale, au hostel za VETA nazo zipo hapo mjini, kama hizo hamtaki nenda Chinise lodge, Paris lodge nk
😂😂😂😂😂Umekandwa mkuu[emoji15]
Ahsante kwa muongozo mkuuSikieni sasa ndugu zangu, kuna guest ipo sehemu panaitwa ntyuka, ni Local hasa ila inafaa kama bajeti yako ni ndogo sana. Inaitwa Zambezi ipo sehemu panaitwa Ntyuka ni karibu sana na Udom
Gharama ni 8k self, 5k choo nje. Kama interview ni siku 3 nazani umeshaona utasave hela kiasi gani.
#NB ni sio sehemu nzuri sana na nazani bei inazihirisha hilo
Kaonja kikombe cha PSRS huyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂Wamemkanda kwa maji ya moto hahhhhKaonja kikombe cha PSRS huyo[emoji3][emoji3][emoji3]
Sikieni sasa ndugu zangu, kuna guest ipo sehemu panaitwa ntyuka, ni Local hasa ila inafaa kama bajeti yako ni ndogo sana. Inaitwa Zambezi ipo sehemu panaitwa Ntyuka ni karibu sana na Udom
Gharama ni 8k self, 5k choo nje. Kama interview ni siku 3 nazani umeshaona utasave hela kiasi gani.
#NB ni sio sehemu nzuri sana na nazani bei inazihirisha hilo
Kwa wanaokuja Dodoma kwa interview weekend na wanaitaji kubook hotel au lodge tuwasiliane
Pia kwa watakaotaka usafiri toka siku yakufika adi eneo la interview tupo tayari kupokea booking.
Tuishi humu kwa kwanza kabla PSRS wanaendelea kuchakata.Hivi ni kweli viongozi wa juu kabisa serikalini wanajua kwamba kuna ajira na saili zinazochukua miezi na miezi bila kuita saili wala kutoa majibu ya kupangiwa kazi kwa waliofaulu na bado wanaona ni hali ya kawaida, au ndio ile ya mwenye shibe hamjui mwenye njaa!?
Bado sinauhakika ni nini kinaendelea kwenye nafasi za TRA, NAOT na nyingine, vitu vya tangu April! Hii ni hatari.
Hizo zilikuwa ni za bajeti ya 2021/2022, hivi hizi nyingine za 2022/2023 zitatangazwa lini na watu wataanza kazi lini kama sio mwisho wa mwaka ujao!
Yani ile bajeti aliyoahidi Jenista Mhagama kuelekezwa kwenye kufanya saili zifanyike mikoani, japo haijaanza kutekelezwa ni bora utekelezaji wake uache saili Dodoma na vile maeneo ya gharama nafuu za kulala tumeshaanza kupeana, lakini uziongeze kasi zifanyike haraka haraka.
Haitakuwa na maana hata kama saili zinafanyika mikoa yote lakini zoezi linachukua miezi sita au zaidi.
Tuishi humu kwa kwanza kabla PSRS wanaendelea kuchakata.
"...mwenye shibe hamjui mwenye njaa.."
Mkeka uliotoka haujabahatika?Daaah wanachukua mda sana kuita watu kazini jamani