Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]daah halafu nachoona ukitarajia Sana kufaulu tarajia pia kufeli Sana maana cutting point inaashiria umefeli haijalishi umepata ngapi kikubwa mpk uwe selected ndo ujue umefaulu wanazengo wenzangu.Hahaha, jamaa unaweza kudhani hawataki watu wapate kazi, kumbe ndio wanawatafuta hivyo.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app