Uzi wa sehemu za gharama nafuu kulala kwa wanaokwenda kwenye saili Dodoma

Hahaha, jamaa unaweza kudhani hawataki watu wapate kazi, kumbe ndio wanawatafuta hivyo.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]daah halafu nachoona ukitarajia Sana kufaulu tarajia pia kufeli Sana maana cutting point inaashiria umefeli haijalishi umepata ngapi kikubwa mpk uwe selected ndo ujue umefaulu wanazengo wenzangu.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Wanaachaje kunishangaza Hawa jamaa [emoji3][emoji3][emoji3] kuna kitu inaitwa CUTTING POINT mtu ulikuwa hujawahi kupata 50 ile unapata 50 tu wanachukua kuanzia 51 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Written yangu ya tatu walinifanyia hivi.

Nilipata 52,wakaondoka na 55[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo lazima utaona mbna kama utumishi wanakukomoa hivi
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Noma sana mkuu, halafu written kabla ya hiyo, walichukua watu waliopata kuanzia 50. Then nilipoimprove na wao wakaimprove cut off.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]halloo weeeh!!! Kaka Wewe unauzoefu mkubwa sana na psrs aiseh Duuuh maana uliyapitia asikwambie mtu inauma Sana, lkn we should never give up kaziiendelee kupambana nao

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]daah halafu nachoona ukitarajia Sana kufaulu tarajia pia kufeli Sana maana cutting point inaashiria umefeli haijalishi umepata ngapi kikubwa mpk uwe selected ndo ujue umefaulu wanazengo wenzangu.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Uko sahihi sana Mkuu, na nimeshuhudia zaidi ya watu watano waliodhani watafeli ila wakafaulu.

Na nawajua kibao waliotoka kwenye pepa wakijua wamepita ila utumishi wanajua wenyewe walichokifanya, hawakwenda popote zaidi ya kusubiria Received nyingine ziite.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Noma sana mkuu, halafu written kabla ya hiyo, walichukua watu waliopata kuanzia 50. Then nilipoimprove na wao wakaimprove cut off.

Hahaha, wakati wewe unapanga yakwako na utumishi wanapanga yakwao.
 
Viumbe wenye raha zaidi ni wale wenye ajira za kueleweka maeneo mengine huku wanataka kuingia tu serikalini, hawa watu hawana presha.
 
Kabisa na wengi wao huwa wakiaply mpk wanasahau na sio kila post wanaaply, huwa wanaangalia number za post, vitengo, wages, na nyomi la watu ili wahudhurie na huwa mpk wastuliwe hawako bize na psrs.

Back
Top Bottom