Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,565
Daah yaani hiyo Kweli kaka ndio maana ukitaka ujue ulifaulu kokote waiting for PDF either of placement or selected for oral. Zaidi ya hapo tuendelee na mambo mengine au post zingine after interview.Uko sahihi sana Mkuu, na nimeshuhudia zaidi ya watu watano waliodhani watafeli ila wakafaulu.
Na nawajua kibao waliotoka kwenye pepa wakijua wamepita ila utumishi wanajua wenyewe walichokifanya, hawakwenda popote zaidi ya kusubiria Received nyingine ziite.
Kinachotuua wengi ni expectation na inauma mno unapojikuta kwenye PDF haupo while ulisubiri miezi 6 yote asikwambie mtu, lkn tuendelee kujifunza me naamini hii yote tunafundishwa namna ya kuyathamini majukumu yetu yajayo na kuwaheshimu jobless Wengine kwasababu tunaelewa uchungu wake.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app