Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwembwe za kiwango cha lami!Rafiki hiyo ni mishkaki au ni nini?Sie tumeamka hivi na chai ya tangawizi pembeni....View attachment 1627316
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] Mishkaki ya Prawns rafiki na boga la kuchemsha.Mbwembwe za kiwango cha lami!Rafiki hiyo ni mishkaki au ni nini?
Amna ni kingi icho ungeshiba sana[emoji23][emoji23]Ok, maana mimi hapo ni matonge 2 tu kimeisha[emoji3][emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3] Mishkaki ya Prawns rafiki na boga la kuchemsha.
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Hapo safiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], mwanamke jiko banah, mwanamke ukiweza cheza na jiko basi umebeba 70% ya kupendwa na mwanaume
Kuna vitumbua nilikula kwa mhindi ArushaJamani humu tunakula tunavyotaka na madoido kibao ila utotoni tukumbuke vizuri ile misosi,sielewi ilikua ni njaa ama kitu gani.
Mbeya 80s kulikua na mzee mmoja akitoka mabatini huko anaenda mpaka Iyunga na kisado kina kababu tuliita ni meatballs,yule mzee sijawai kuelewa alikua anatumia viungo gani,nimejaribu kuvuta hisia sana VIUNGO katumia nikaambulia tangawizi,vitunguu na pilipili kibao ila kwingine sijaelewa.nimeshatengeneza zaidi ya mara 10 sijapata ile ladha.sijui yule mzee alitumia kitugani.
ni mara moja tu nilitwanga kila kitu ground mwenyewe ndio kidogoo ilikaribia,zile kababu sijawai kusahau milele.
Mzee labda hayupo ila huko aliko tunamkumbuka.
WEWE UNAMKUMBUKA MTAALAM GANI UTOTONI?[emoji118]
[emoji39]
Arusha Kuna mama alikua anauza vitumbua vitamuu amenifanya nisofurahie vingine nnavyokula....miaka imepita.Alikua anauza barabarani tu opposite na ofisi za maji....nilikua sikosi,alinizoea akawa ananiwekea pembeni kila sikuJamani humu tunakula tunavyotaka na madoido kibao ila utotoni tukumbuke vizuri ile misosi,sielewi ilikua ni njaa ama kitu gani.