Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 22,527
- 79,976
Yaaaas!Asante waambie hao, Samsung for life.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaaaas!Asante waambie hao, Samsung for life.
Habari wajanja wa mujini,
Kama una simu ya iphone hebu tupia mambo mbali mbali ambayo iPhone inafanya ili tupate maujuzi.
Please kama una simu yako ambayo sio IPhone usichangine maana hii Habari ya Iphone tu wengine simu za Kariakoo pumzikeni kwanza
Yeah,lakini kwa ubora wako vizuri kwa kweliKinachoniudhi kwenye samsung unanunua gharama leo baada ya miezi 3 inakua imeshuka bei vibaya atleast Iphone kidogo zinakua hazijashuka sana.
nabakia na hii samsung kingstone 3Halafu wewe unabaki na hiyo tecno?
Hivi ya bei ghali ni Tsh ñgapi?
Mkuu hivi unaweza, kulinganisha iPhone na HUAWEI kwasasa,
iPhone Zilikua Zamani tu, iPhone nayo ni simu, ndio uanze na kujimwambafai
Yeah,lakini kwa ubora wako vizuri kwa kweli
iPhone ni kuanzia 7 plus na kuendelea nyie wengine chini ya apo ni sawa mnatumia itel na tecno na baada ya mifuko ya rambo kufungiwa tunaomba na iPhone 6 pia sifungiwe maana zimekua nyingi mpka hadhi ya iPhone inasahaulika
Mimi siwezi tumia,out dated phone mkuu,huu ni ulimwengu wa HUAWEI simu zenye camera, kali. Saivi simu ni camera, iPhone ndio zinaingia bongo ndio maana ushamba mwingi lkn kwa, wenzetu iPhone hazitumiki kivileeee
Yaani iphone 6 ndo unatupigia kelele humu aise jiheshimu basi[emoji23]Mambo ya iPhone haya
Safii! Ngoja tujimwambafai sisi iphone zetu
Sent from my iPhone X using jamiiforums
kweli mkuu wabongo weng wanatumia iphone za zamani simu ya mwaka 2015 ndo nitumie hapana atleast kuanzia iphone x hayo mengne mataka taka tuuMimi siwezi tumia,out dated phone mkuu,huu ni ulimwengu wa HUAWEI simu zenye camera, kali. Saivi simu ni camera, iPhone ndio zinaingia bongo ndio maana ushamba mwingi lkn kwa, wenzetu iPhone hazitumiki kivileeee
Umenifanya nicheke sana maana hiyo tecno unayotumia hata screen protector imechubuka mbaya ndo unafanisha 6s kweliYaani iphone 6 ndo unatupigia kelele humu aise jiheshimu basi[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah! Aisee huyo mzee ana balaa!kuna mzee ana simu ina line 5 zote zinafanya kazi[emoji23] ni nzito balaa na ina antenna zile kama kidole
Sent using Jamii Forums mobile app