Uzi wa wenye simu za iPhone

Uzi wa wenye simu za iPhone

Safii! Ngoja tujimwambafai sisi iphone zetu
Habari wajanja wa mujini,
Kama una simu ya iphone hebu tupia mambo mbali mbali ambayo iPhone inafanya ili tupate maujuzi.

Please kama una simu yako ambayo sio IPhone usichangine maana hii Habari ya Iphone tu wengine simu za Kariakoo pumzikeni kwanza

Sent from my iPhone X using jamiiforums
 
iPhone ni kuanzia 7 plus na kuendelea nyie wengine chini ya apo ni sawa mnatumia itel na tecno na baada ya mifuko ya rambo kufungiwa tunaomba na iPhone 6 pia sifungiwe maana zimekua nyingi mpka hadhi ya iPhone inasahaulika
 
iPhone ni kuanzia 7 plus na kuendelea nyie wengine chini ya apo ni sawa mnatumia itel na tecno na baada ya mifuko ya rambo kufungiwa tunaomba na iPhone 6 pia sifungiwe maana zimekua nyingi mpka hadhi ya iPhone inasahaulika

Kuanzia 6s kwenda juu zote zinapata update bado zamoto co mchezo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibuni SAMSUNG A 70 ni mwendo wa kudonoa tu,dadeeeki.

Kama kuna mtu atanipatia I phone yenye uwezo unaoshabihiana na hii Samsung A 70 ani PM laki moja inamuhusu

Tulia hivyo hivyo dawa ikuingie..[emoji382]
 
Mimi siwezi tumia,out dated phone mkuu,huu ni ulimwengu wa HUAWEI simu zenye camera, kali. Saivi simu ni camera, iPhone ndio zinaingia bongo ndio maana ushamba mwingi lkn kwa, wenzetu iPhone hazitumiki kivileeee
kweli mkuu wabongo weng wanatumia iphone za zamani simu ya mwaka 2015 ndo nitumie hapana atleast kuanzia iphone x hayo mengne mataka taka tuu
 
Ki ukweli kuna vitu katika maisha jitahidi uvifanye hata mara moja inatwa once in lifetime kama kutumia iPhone maana utakuwa mtu wa hovyo hovyo kama hujatumia iPhone ya aina yoyote katika maisha yako hata mara moja.
 
[emoji23]af unakuta una iphone 5 ya laki na nusu, simu ni taste ya mtu.. mtu nina Samsung au Google pixel ya million moja af wewe mwenye iphone 6 ya 250,000 unataka jikompea naye... nna iphone 6 mbili geto ata sizitumii... [emoji23]iphone ni kwanzia iphone 8 plus, iphone Ten na eleven... hauna hizo shut up hizo ni tecno zilizochangamka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom