Uzi wakutaja kitu chochote ambacho uliwahi kuona na sio cha kawaida katika maisha yako

Daaa!!ulitakiwa kusubiri kidogo ili uone mwisho wa Huyo Dada, Leo ungetusimulia vingi mno.
 
hahaha hahahahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
duuuh hiii nayo kali
 
hujaeleweka huyo Dada alitokea upande gani alikatisha wapi akiwa anajilipia hiyo gauni..!?
 
nyie uoga wenu ndio uliwakimbiza
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hayo mapaka ndiyo huwa napenda kupiga teke.

Huyo paka bado yupo au kaondoka? Kuna vitu vinajua watu wa kucheza nao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji39]
 
Ilikuwa kitambo kdogo kwenye kagiza kalikochagizwa na kimbalamwezi kwa mbaali. Tulikuwa upenuni hom kwetu na mshkaj tunapiga stori tukaona watu wawili wanateta mbele ya nyumba yetu tuligundua walikuwa mwanamke na mwanamme. palikuwa na mti mkubwa walisimama hapo chin ya huo mti. Tulimjua huyo mmama alikuwa na heshima zake tu hapo mtaani inaelekea alipata kiserengeti. Cha kushangaza mara ghafla tukaona wanakumbatiana. Mara heee tukaona wanachojoa kulikuwa na kila dalili wanataka kugegedana palepale chini ya mti!!. Mimi na mshikaj tukataka kutimua mbio maana kwetu halikuwa jambo la kawaida hlf wangegundua ingekuwa soo. Tukateta kdogo tukatuliza munkari tuliona tusije kuwashtua ikawa soo zaidi. Tulikuwa sehemu ya pembezoni. wao na vile ge.nye zimeshawapanda haikuwa rahisi kutuona na kagiza vile. Dakika zilizofata mmama alikuwa kashikishwa ule mti wetu na sie wamiliki wa huo mti tukawa tumekenua meno kwa tabasam tukicheki mchezo wa kibaba baba bila malipo.
 
Kuna mdada nilikuwa namuheshimu sana maeneo flani hv siku moja jamaa yake akanisimulia kwamba walienda kutoa mimba kwa mbibi mganga,yani yule dada alisimama juu ya kioo akasema shida yake halaf mbele kuna kibuyu akaambiwa weka sadaka yako kwenye kibuyu yoyote ile gafla akajikuta hana mimba hata nguo hajavua aisee niligopa sana
 
Sema kama kibwengo alikupitia Acha kuvunga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaha kweli?? Jamani jana nililala mapema kweli nikaamkia mikaz leo muda huu ndio napumua nikasema niingie huku ulifikiria nn jana ukafanya kile ulichokifanya ujue nilicheka kama mjinga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Nilikumiss sana.
 
Hahahaha kweli?? Jamani jana nililala mapema kweli nikaamkia mikaz leo muda huu ndio napumua nikasema niingie huku ulifikiria nn jana ukafanya kile ulichokifanya ujue nilicheka kama mjinga
Inatakiwa siku zijazo tutoke humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…