Uzi wakutaja kitu chochote ambacho uliwahi kuona na sio cha kawaida katika maisha yako

Huyo ni Bibi wa kizungu.ulikuwa nchi gani? Na unaongelea vile vimbwa vidogo vina manyoya Kama blanketi
 
Mbona kama hujamalizia hii stori Mkuu
 
Mkuu sijawah kufukuza paka akaniangalia hilo moja halaf ninapenda paka balaa tangu hilo tukio nawaogopa hatakuwasogelea paka anakimbiza kundi la watu can u imagine?? Ah woga ndio akili sometimes
ila we ni muoga kinoma
 
Mimi niliwahi kuona ndege nyingi sana na nyingine za duara hapo nikawanauliza azigongani angani au hawa marubani wanafanya nini maana zilikuwa nyingi kama kwerekwere sijawahi kuona tena nadhani hiyo ni 1978

Mkuu uliona allien?
 
Niliona ndege (eropleni) imesimama angani,
Yaani haimove kabisa kwa dakika kama tano,
Ajabu niliokuwa nao walinipa majibu ya kuchekesha
Mmoja akasema labda ineishiwa mafuta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwingine akasema itakuwa ni mambo ya kishirikina [emoji23][emoji23][emoji23] ndege na ushirikina wapi na wapi?!

Sijawahi kuona tena tukio kama hilo
 
niliwahi kuona meanaume shoga anafi#wa hadharani maeneo ya gongolamboto ulikuwa usiku wa saa 4 pindi narudi zangu Gheto nilipokuwa nimepanga lakn kila aliyepita pale alistaajabu na kuendelea na mambo yake.
Haukuwa ww kweli?
 
Mkeo mgonjwa alafu unaomba gemu..
Utakuwa na matatizo weye..
 
jina lako linaendana [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]vipi mkojo haukutoka..!??
 
niliwahi kuona meanaume shoga anafi#wa hadharani maeneo ya gongolamboto ulikuwa usiku wa saa 4 pindi narudi zangu Gheto nilipokuwa nimepanga lakn kila aliyepita pale alistaajabu na kuendelea na mambo yake.
Duh
 
Huyo ni Bibi wa kizungu.ulikuwa nchi gani? Na unaongelea vile vimbwa vidogo vina manyoya Kama blanketi
Sio bibi ni mdada kwenye mid 20's tena yupo sexy,
yes ni vimbwa vile viduchu mwenyewe anamuita mtoto wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…