Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za CUF: Prof. Lipumba asema akishinda Urais atakuwa Rais wa 1 Tanzania kupewa tuzo ya Mo Ibrahim

Huyo le porofesa utopolo hiyo hotuba apeleke rwanda alipokimbilia 2020 baada ya kuvuta mshiko,tangu 2000 anagombea urais hana jipya hata kwao tabora hawezi kupewa hata ujumbe wa nyumba 10
 
Kama kwa maoni yako hotuba ya Lipumba ni ya pili kwa ubora ikitanguliwa na ile ya Magufuli basi hata ya Kibajaji ingekuwa bora zaidi na kushika nafasi ya kwanza Prof na PhD yake akishuka mpaka nafasi ya tatu. Ungeonekana hukuogopa umande.
 
Professorial rubbish +fake phd=zero
 
[SUB][/SUB]

"Mkinichagua nitaunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa, tutakuwa na Katiba mpya, October 28 mkienda kupiga kura msipoteze kura zenu, Mgombea anayejua matatizo ya Nchi yetu ni mimi, nitajenga uchumi unaoongeza ajira kwa Vijana” -Lipumba alipozindua kampeni Mkoani Mtwara.

[SUB][/SUB]
 
Acha mbwembwe kwanini huwa hujibu hoja humu.
 
Hizi picha ni za mwaka gani vile?
 
Picha za mwaka huu huko kusini itabaki ngome ya cuf kwani aliyefanya kazi kubwa kuieneza ni Lipumba
 
Msaliti hugo kwenye mikutano ya Ccm anaenda kufanya nn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…