Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Utawezaje kuzuia mafuriko au tetemeko kwa viganja kama lililo wapata kwenu bukoba?Wewe msikilize Tundu Lissu hakuna wa kukuzuia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawezaje kuzuia mafuriko au tetemeko kwa viganja kama lililo wapata kwenu bukoba?Wewe msikilize Tundu Lissu hakuna wa kukuzuia.
Huyo le porofesa utopolo hiyo hotuba apeleke rwanda alipokimbilia 2020 baada ya kuvuta mshiko,tangu 2000 anagombea urais hana jipya hata kwao tabora hawezi kupewa hata ujumbe wa nyumba 10Kiukweli kwa wale waliomsikiliza hotuba ya ufunguzi wa kampeni za Prof Lipumba pale Mtwara atakubaliana nami hotuba ile ilikuwa na viwango.
Prof Lipumba amezungumzia maeneo yote muhimu ya kiuchumi na Huduma za kijamii na namna atakavyoshugulikia maeneo hayo...
Kama kwa maoni yako hotuba ya Lipumba ni ya pili kwa ubora ikitanguliwa na ile ya Magufuli basi hata ya Kibajaji ingekuwa bora zaidi na kushika nafasi ya kwanza Prof na PhD yake akishuka mpaka nafasi ya tatu. Ungeonekana hukuogopa umande.Kiukweli kwa wale waliomsikiliza hotuba ya ufunguzi wa kampeni za Prof Lipumba pale Mtwara atakubaliana nami hotuba ile ilikuwa na viwango.
Prof Lipumba amezungumzia maeneo yote muhimu ya kiuchumi na Huduma za kijamii na namna atakavyoshugulikia maeneo hayo...
Suala sio kupewa ujumbe kwao ni mantiki na ujumbe wa hotuba yake.Huyo le porofesa utopolo hiyo hotuba apeleke rwanda alipokimbilia 2020 baada ya kuvuta mshiko,tangu 2000 anagombea urais hana jipya hata kwao tabora hawezi kupewa hata ujumbe wa nyumba 10
AsanteKiukweli kwa wale waliomsikiliza hotuba ya ufunguzi wa kampeni za Prof Lipumba pale Mtwara atakubaliana nami hotuba ile ilikuwa na viwango...
Hizi picha ni za mwaka gani vile?[SUB]View attachment 1562522[/SUB]
"Mkinichagua nitaunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa, tutakuwa na Katiba mpya, October 28 mkienda kupiga kura msipoteze kura zenu, Mgombea anayejua matatizo ya Nchi yetu ni mimi, nitajenga uchumi unaoongeza ajira kwa Vijana” -Lipumba alipozindua kampeni Mkoani Mtwara.
[SUB]View attachment 1562523[/SUB]
Tundu Lisu anarukaruka tu kama anacheza reggae!Kwa vichaa kila kitu kwao ni kizuri ndiyo maana hata vyakula vya majalalani kwao ni msosi bora
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unavutia bwashee, mashalaah!
Msaliti hugo kwenye mikutano ya Ccm anaenda kufanya nnMgombea Urais kupitia CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amezindua kampeni za chama hicho Mkoani Mtwara ambapo ameahidi kuboresha Huduma za Afya kwa wajawazito na watoto, kuimarisha Uchumi wa Baharini (Uvuvi), Elimu bora na kuimarisha Soko la Nafaka na Mazao mbalimbali...