Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za CUF: Prof. Lipumba asema akishinda Urais atakuwa Rais wa 1 Tanzania kupewa tuzo ya Mo Ibrahim

Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za CUF: Prof. Lipumba asema akishinda Urais atakuwa Rais wa 1 Tanzania kupewa tuzo ya Mo Ibrahim

Kiukweli kwa wale waliomsikiliza hotuba ya ufunguzi wa kampeni za Prof Lipumba pale Mtwara atakubaliana nami hotuba ile ilikuwa na viwango.

Prof Lipumba amezungumzia maeneo yote muhimu ya kiuchumi na Huduma za kijamii na namna atakavyoshugulikia maeneo hayo...
Huyo le porofesa utopolo hiyo hotuba apeleke rwanda alipokimbilia 2020 baada ya kuvuta mshiko,tangu 2000 anagombea urais hana jipya hata kwao tabora hawezi kupewa hata ujumbe wa nyumba 10
 
Kiukweli kwa wale waliomsikiliza hotuba ya ufunguzi wa kampeni za Prof Lipumba pale Mtwara atakubaliana nami hotuba ile ilikuwa na viwango.

Prof Lipumba amezungumzia maeneo yote muhimu ya kiuchumi na Huduma za kijamii na namna atakavyoshugulikia maeneo hayo...
Kama kwa maoni yako hotuba ya Lipumba ni ya pili kwa ubora ikitanguliwa na ile ya Magufuli basi hata ya Kibajaji ingekuwa bora zaidi na kushika nafasi ya kwanza Prof na PhD yake akishuka mpaka nafasi ya tatu. Ungeonekana hukuogopa umande.
 
Professorial rubbish +fake phd=zero
 
[SUB]
IMG_20200908_075321_160.jpg
[/SUB]

"Mkinichagua nitaunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa, tutakuwa na Katiba mpya, October 28 mkienda kupiga kura msipoteze kura zenu, Mgombea anayejua matatizo ya Nchi yetu ni mimi, nitajenga uchumi unaoongeza ajira kwa Vijana” -Lipumba alipozindua kampeni Mkoani Mtwara.

[SUB]
IMG_20200907_163757_379.jpg
[/SUB]
 
[SUB]View attachment 1562522[/SUB]

"Mkinichagua nitaunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa, tutakuwa na Katiba mpya, October 28 mkienda kupiga kura msipoteze kura zenu, Mgombea anayejua matatizo ya Nchi yetu ni mimi, nitajenga uchumi unaoongeza ajira kwa Vijana” -Lipumba alipozindua kampeni Mkoani Mtwara.

[SUB]View attachment 1562523[/SUB]
Hizi picha ni za mwaka gani vile?
 
Picha za mwaka huu huko kusini itabaki ngome ya cuf kwani aliyefanya kazi kubwa kuieneza ni Lipumba
 
Mgombea Urais kupitia CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amezindua kampeni za chama hicho Mkoani Mtwara ambapo ameahidi kuboresha Huduma za Afya kwa wajawazito na watoto, kuimarisha Uchumi wa Baharini (Uvuvi), Elimu bora na kuimarisha Soko la Nafaka na Mazao mbalimbali...
Msaliti hugo kwenye mikutano ya Ccm anaenda kufanya nn
 
Back
Top Bottom