Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Kwanza TBC wameenda kusema nini polisi. Kuna vitu vinafurahisha kwa kweli. Yaani uje nyumbani kwangu na uanze kinipangia cha kuzungumza, nakutimua mchana kweupe.
 
Tbc sio chombo cha habari bali ni chombo cha propaganda cha CCM.
 
TBC sio chombo pekee cha habari Tz, futa hiyo kauli yako "Chadema isishindane na vyombo vya habari Tz" hata jana TBC walivyotimuliwa pale uwanjani kuna vyombo vingine vya habari viliendelea kuwepo.
 
Daaa! Nimeangalia UTV hapa mkutano wa kawe daaa. Watanzania nimewavulia kofia kwa unafiki, duu watu kiduchu mno. UTV hawajafanya poa kabisa!
 
ACHA UPUUZI wako wewe! Vyombo vya habari vipi? Hivi vinavyotishwa na huyo anayejiita KICHAA hata kuogopa kumuhoji Lissu au kuandika kuhusu Chadema na kampeni zake? 😳😳😳


 
Nani alikuteua kuwa mzungumzaji wa Chadema? Acha kiherehere jombaa
 
Dr. Slaa alipambana wkt wa jk kipindi Tz kuna democrasia

Kipindi hk Tz ipo chini ya shetani mazingira ni magumu sn kisiasa

Hivyo upinzani wa sasa ni imara zaidi kuliko huo wa Dr.slaa unaousema
 

Si ajabu hapo kavimbiwa pilau la kampeni Na nauli aliyopewa anajiona amefika peponi.
 


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…