Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tbc sio chombo cha habari bali ni chombo cha propaganda cha CCM.Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amejibu tamko la uongozi wa TBC na kuwaambia Chadema haiogopi polisi kwa sababu polisi ni sehemu ya maisha yao.
Mbowe amesema kama TBC wataacha upendeleo na kuomba radhi wananchi basi watawakaribisha tena kwenye mikutano yao.
Source ITV habari!
My take; Chadema isishindane na vyombo vya habari itaumia.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa kweli maana wadau walienda kumfuata mondi na harmo tu!!!Front siti kabisa. Kule idyodyomiya kuna tamasha la wanamuziki 200+
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amejibu tamko la uongozi wa TBC na kuwaambia Chadema haiogopi polisi kwa sababu polisi ni sehemu ya maisha yao.
Mbowe amesema kama TBC wataacha upendeleo na kuomba radhi wananchi basi watawakaribisha tena kwenye mikutano yao.
Source ITV habari!
My take; Chadema isishindane na vyombo vya habari itaumia.
Maendeleo hayana vyama!
Ndio manini hayo?
Nani alikuteua kuwa mzungumzaji wa Chadema? Acha kiherehere jombaaMwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amejibu tamko la uongozi wa TBC na kuwaambia Chadema haiogopi polisi kwa sababu polisi ni sehemu ya maisha yao.
Mbowe amesema kama TBC wataacha upendeleo na kuomba radhi wananchi basi watawakaribisha tena kwenye mikutano yao.
Source: ITV habari!
My take: Chadema isishindane na vyombo vya habari itaumia.
Maendeleo hayana vyama!
TBC ni chombo cha Propaganda za CCM itaumia yenyewe kwa kujiingiza kwenye 18 za ChademaChadema isishindane na vyombo vya habari itaumia.
Dodoma kuna minazi?Jibu hilo hapo [emoji116]View attachment 1552203
Uma akili huru kweli weweWewe ndio huyo kwenye picha aliyeshika kiuno haamini nyomi analoliona?
Kama hivi enh? View attachment 1552003
inaonekana ujui maroli
Dr. Slaa alipambana wkt wa jk kipindi Tz kuna democrasiaKumtoa mtu ndani kwake hadi aje kusikiliza sera zako ni jambo ambalo linahitaji technique nyingi. Kwanza hamasa
CHADEMA hamkua na hamasa yoyote ya kuhamasisha watu juu ya uzinduzi wa kampeni yenu, amsha amsha hazikuepo kama zile enzi za Dkt. Slaa.
Hamkua na vitu vya kushawishi watu waje zaidi ya Lissu, hamuoni CCM wanakodi mpaka wasanii ili wajaze uwanja?
CHADEMA mnafeli, Katibu Mkuu umefeli.
Kiujumla mmefeli nyote na mkiendelea hivyo hivyo mtapoteza mvuto kabisa.
Hata kama tunakichukia chama fulani kwa sababu tu wewe ni mshabiki wa chama fulani Ubinaadamu na Uungwana ni kitu muhimu sana na ni vema tukatambua kuwa mara nyingi 1. MANENO UUMBA 2. KABLA UJAFA HAUJAUMBIKA 3. MALIPO NI HAPAHAPA DUNIANI. sasa wewe unayeandika hivi kwa kujiona tu umzima bila kujua kuwa hicho unachojivunia ni Mungu aliyetaka uwe hivyo na hizo dhihaka unazozitoa kwa Lissu tambua kuwa Mungu pia ametaka Lissu awe hivyo. Hivi amjifunzi viongozi wangapi wa CCM walikuwa wazima wakati Lissu anapigwa Lisasi na wapo waliotoa kejeli kama wewe lakini leo hii wameishaoza ardhini? Jitafakari sana kwa hiki ulichokiandika.
Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi.
=====
LIVE FEED:
MBOWE: HATUOGOPI TBC WALA SERIKALI. TBC WAKIJITAFAKARI TUPO TAYARI KUWASAMEHE
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiwa katika Kampeni za CHADEMA, Kawe Jijini Dar amesema jana katika Mkutano wao wa Mbagala waliwataka TBC kuondoka, jambo lililopokelewa vema na Watanzania wengi husasan wale wanaopenda Uandishi wa Habari wa haki
Amesema, "Napenda niwaambie Wanahabari wote, Chama chetu kinaamini katika Uhuru wa Habari, kinamini katika Uandishi wa Habari unaofanywa kwa Weledi, usio na upendeleo"
Amesisita, "Chombo chochote kinachotaka kutoa taarifa zetu, tunakiruhusu, tunakikaribisha, tutashirikiana nacho lakini kitoe taarifa za ukweli bila upendeleo bila ushabiki"
Ameongeza, "TBC wametoa tamko. Wanasema taarifa wametoa Polisi, sisi taarifa tumetoa kwa Mungu. Tunapenda kuwambia TBC, Polisi imekuwa sehemu ya maisha yetu wala hatutishwi na mtu kwenda Polisi kutushtaki"
Amesema TBC wajitafakari na wakiona wapo tayari kufanya kazi kwa uadilifu, CHADEMA ipo tayari kuwasamehe ila sio kutishana kwa sababu wao hawaiogopi TBC wals Serikali ila wanawaheshimu wote na taaluma ya habari
Hatutaki picha za horizontal, tunataka Aerial/high oblique photograph unayoonyesha uhalisia wa mukutano kama hii hapa chini.