Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

I don’t know what’s the fuss here..Ni jambo la kawaida kabisa kushirikisha wananchi/wanachama kuchangia uchaguzi na CHADEMA wamechelewa tu wangeanza mapema kabisa. Hata ukifatilia chaguzi za Marekani na nchi zingine election fundraising is a must na inashirikisha wadau wengi pamoja na wanachama. Otherwise mnategemea CHADEMA wapate fedha wapi? Hiyo ruzuku wanayopata CHADEMA itakuwa inaishia tu kwenye uendeshaji wa chama. Ni pesa kidogo sana ukilinganisha na ukubwa na mahitaji ya chama kwa sasa. Not to mention legal issues kibao na kesi uchwara za kusingiziwa na purukushani za hapa na pale na serikali isiyoisha. Only an idiot would not see sense in this approach. Wananchi na wanachama wanaojielewa watachangia na watagaramia uchaguzi kwa pesa zao wenyewe.

Hii ni baada ya pesa iliyo changwa na wabunge wote kwa miaka mitano kuinywa Faru John? Chama cha M bowe wanapenda sana mizaha. Ila poleni. Tukumbuke kilio cha Lijua Likali bungeni.
 
Lissu leo katest mitambo wameanza kujambajamba.Lazima mwaka huu CCM waseme kwanini hawajatuongezea mishahara miaka 5, kwanini wamekiuka mkataba wa bodi ya mikopo.Kwanini wanajiingiza kwenye biashara badala ya sekta binafsi
Kuweni wakweli jamaa hana mvuto kabisa. Nimeangalia taarifa ya habari UTV jana utafikiri ni mkutano wa Mgombea udiwani teh teh teh
 
Hawa jamaa nikama Malaya kesho yupo huku kesho yupo kwingine.nakumbuka lema ndio aliyeanzisha kampen ya kukata line za voda.mm nikawaambia wakiliweza la kukata line za voda wanachadema nchi nzima basi wangeichukua nchi kabla ya uchaguzi.juzi kati tena wanataka wanachadema wasinunue vitu vya mo.sasa mtawachukia wangapi.kila MTU na harakati zake.mawazo yako wewe usilazimishe mwingine akufuate.akifuata mawazo yako yote mwisho atakugongea na mkeo sababu mawazo yanaendana
Bado mnawachangisha hawa hawa maskini??

Halafu huu mtandao wa voda si mlisema mmeupiga chini mkatuonyesha mnavyokatakata laini, sasa mlivyouweka hapo kuna mwanachadema gani anatumia vodacom?? Bado yupo kweli au ile ilikuwa kujipiga dole na kushtuka wenyewe?
 
Mkuu unashangaa nini, kila siku tunawaita wazungu mabeberu lakini kuna miradi ya DFP kibao hapa nchini, na hao wazungu ndio wanaoongoza kutukopesha. Nenda angalia deni la taifa ni nani wanatusaidia zaidi. Ukijibu hili uje tukupe jibu la hizo namba za mpesa.
 
Halafu anasema eti akichaguliwa atalipa malimbikizo ya mishahara yote from 2015 to 2020.Atawachangisha wananchi kulipa moshahara?
 
Kwa ombaomba hii mtaweza hyo ahadi yenu ya kuwaongezea wafanyakazi mishahara Mara 2 kweli au ndio kutuona wa tz ni wendawazimu wa kutuzuga.eti na wengine humu jf wanaunga mkono tl achukue nchi aongeze mshahara.mmeshindwa hata kufungua duka la mbogamboga kwa hzo luzuku hamna ofisi mtaweza kuiongoza nchi.nawapa polee sana.siku hyo mtashangaa tl atakavyoweweseka
Zingatia maelekezo uweze kusaidia kufanikisha kampeni na ndoto zetu za kuingia Ikulu!

Ndugu Mtanzania saidia kwa kutoa mchango wako ili uoke jahazi!

View attachment 1552699
 
Pamoja na majibu machafu kuwatimua TBC leo siku ya 3 tu mntembeza bakuli,,,,,,, ikifika siku ya 20 si litakuwa pipa,,,,
Mjifunze kuishi vizuri na watu sio matusi ndo ushindi
 
Zingatia maelekezo uweze kusaidia kufanikisha kampeni na ndoto zetu za kuingia Ikulu!

Ndugu Mtanzania saidia kwa kutoa mchango wako ili uoke jahazi!

View attachment 1552699
Tunaomba mtupe mapato na matumizi ya makato ya nilioni moja moja ya kila mwezi ambayo nimakato ya wabunge wa viti maaalum ya chama chenu, na fedha za ruzuku ndani ya miaka mitano yote.
 
Acha ujinga wewe juha kwa sababu Baba yako anafanya huo UJUHA na kakufundisha na wewe kujiuza kwa ME ili mpate mlo wenu usidhani kila mtu anaufanya huo ujuha.
Sawa dada p.. tumekusikia
 
Mkuu unashangaa nini, kila siku tunawaita wazungu mabeberu lakini kuna miradi ya DFP kibao hapa nchini, na hao wazungu ndio wanaoongoza kutukopesha. Nenda angalia deni la taifa ni nani wanatusaidia zaidi. Ukijibu hili uje tukupe jibu la hizo namba za mpesa.
Tehtehteh...
 
Halafu anasema eti akichaguliwa atalipa malimbikizo ya mishahara yote from 2015 to 2020.Atawachangisha wananchi kulipa moshahara?
Atakuwa ameambiwa ukipita tu hiyo nchi inakuwa tawi la nchi fulani..kila kitu tutaweka sawa.
 
Mkuu unashangaa nini, kila siku tunawaita wazungu mabeberu lakini kuna miradi ya DFP kibao hapa nchini, na hao wazungu ndio wanaoongoza kutukopesha. Nenda angalia deni la taifa ni nani wanatusaidia zaidi. Ukijibu hili uje tukupe jibu la hizo namba za mpesa.
Mi nilishaitafuna laini ya mpesa kipindi kile mnaongoza kampeni.
 
Back
Top Bottom