Gerald .M Magembe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 2,496
- 1,800
I don’t know what’s the fuss here..Ni jambo la kawaida kabisa kushirikisha wananchi/wanachama kuchangia uchaguzi na CHADEMA wamechelewa tu wangeanza mapema kabisa. Hata ukifatilia chaguzi za Marekani na nchi zingine election fundraising is a must na inashirikisha wadau wengi pamoja na wanachama. Otherwise mnategemea CHADEMA wapate fedha wapi? Hiyo ruzuku wanayopata CHADEMA itakuwa inaishia tu kwenye uendeshaji wa chama. Ni pesa kidogo sana ukilinganisha na ukubwa na mahitaji ya chama kwa sasa. Not to mention legal issues kibao na kesi uchwara za kusingiziwa na purukushani za hapa na pale na serikali isiyoisha. Only an idiot would not see sense in this approach. Wananchi na wanachama wanaojielewa watachangia na watagaramia uchaguzi kwa pesa zao wenyewe.
Hii ni baada ya pesa iliyo changwa na wabunge wote kwa miaka mitano kuinywa Faru John? Chama cha M bowe wanapenda sana mizaha. Ila poleni. Tukumbuke kilio cha Lijua Likali bungeni.