Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
🤣🤣🤣🤣Au kizungu kabisa "making love".Iteni jina zuri. Semeni MAPENZI.
Uzinzi linatisha bwana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣Au kizungu kabisa "making love".Iteni jina zuri. Semeni MAPENZI.
Yaani hata siamini majicho yangu 🤣🤣🤣Yan Leo mnayoongea kma sio nyie 😂😂😂
Kweli uchawi upo😂
Atakuwa Ketty huyo, pole mkuu, ushauri wangu ageuze tu chugga atatukutaUnamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.
Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.
Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?
Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.
Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.
Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.
Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.
Sio kweli mbona marehemu mengi alikuwa mzinzi mzuri tu na mambo yaliyotokea?Uzinzi huleta nuksi kwenye biashara na maisha
🤣🤣Yaani hata siamini majicho yangu 🤣🤣🤣
Kweli kabisa wote wamekuwa wema kasoro@mzabzab🤣🤣🤣🤣Maana ndivyo tunapaswa tuishi sema kichwa ngumu tu
Huyu ndo ataiona mbingu sasaKweli kabisa wote wamekuwa wema kasoro@mzabzab🤣🤣
Umeongea pumba sana, kama ww ni baba wa familia basi ni hasara tupu.Uzinzi unaweza kuwa mbaya for obvious reasons kama magonjwa ila Kuna mambo ni nadharia za kusadikika.
Mtu anasema ukiwa mzinzi unarogeka kirahisi, sijui unaleta mabalaa nk nk. Hizi ni nadharia zilizopitwa na wakati.
Kuna watu hawaonji kabisa utamu ila wanahali ngumu kuliko wanaojiuza na kununua daily.
Mwingine anasema unarogeka kirahisi, kwanza kwanini mtu akuroge? Pili kuamini ushirikina Karne hii ni uzwazwa.
Kama uzinzi unaleta nuksi na mikosi basi ukilala na mtu mwenye heri inabidi upate baraka. To every action there's equal and opposite reaction, isn't it? It's science.
🤣🤣Uzinzi unasababisha urogeke kizembe
Kwanini kwanza umtoe dem arusha kwani dar wameish , unalipa hotel super deluxe ya nini huku vyumba vya 30 vipo lodge vizuri tuUnamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.
Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.
Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?
Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.
Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.
Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.
Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.
Yaani 3+ tu mbona umeweka kima cha chini sana kama mshahara wa serikali mkuu. Watu wapo double digits mzee, sio me wala ke!Kusema ukweli huu mchezo ni pendwa saana na ukija tathimini hapa wengi wameshakua wakishiriki mapenzi na watu zaidi ya 3+ nina hakika na hili...
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kutisha watu.Pamoja na yote, uzinzi unaweza kukuingiza kwenye dimbwi la umasikini usipokuwa makini. Wenzetu hawa wanajua kuomba tu, sasa jifanye wewe don mjini kila ukiambiwa "niazime 100k" unatoa tu huki ukijua kipato chako tia maji.
Ukipigika ndio utajua zile 10k, 50k na 100k zilikuwa na faida gani
@malamsha11Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.
Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.
Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?
Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.
Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.
Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.
Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha kutisha watu.
Hahaha mkuu niliweka kima cha chini kabisa... nikijua kila mtu lazima aangukie hapa ...Yaani 3+ tu mbona umeweka kima cha chini sana kama mshahara wa serikali mkuu. Watu wapo double digits mzee, sio me wala ke!