Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.

Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.

Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?

Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.

Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.

Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.

Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.
Atakuwa Ketty huyo, pole mkuu, ushauri wangu ageuze tu chugga atatukuta
 
Uzinzi huleta nuksi kwenye biashara na maisha
Sio kweli mbona marehemu mengi alikuwa mzinzi mzuri tu na mambo yaliyotokea?
Waulize akina Kikwete, Mwigulu, Magufuli.........
 
Uzinzi unaweza kuwa mbaya for obvious reasons kama magonjwa ila Kuna mambo ni nadharia za kusadikika.

Mtu anasema ukiwa mzinzi unarogeka kirahisi, sijui unaleta mabalaa nk nk. Hizi ni nadharia zilizopitwa na wakati.

Kuna watu hawaonji kabisa utamu ila wanahali ngumu kuliko wanaojiuza na kununua daily.

Mwingine anasema unarogeka kirahisi, kwanza kwanini mtu akuroge? Pili kuamini ushirikina Karne hii ni uzwazwa.

Kama uzinzi unaleta nuksi na mikosi basi ukilala na mtu mwenye heri inabidi upate baraka. To every action there's equal and opposite reaction, isn't it? It's science.
 
Umeongea pumba sana, kama ww ni baba wa familia basi ni hasara tupu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwili hauna mpango wa kwenda mbinguni, kwa maana mwili tumeukuta hapa duniani na tutauacha, lakini roho lazima ichague either hell or heaven.
Uzinzi sio ishu.

Warumi 8:6-7,13.
[6]Kwa kuwa nia ya mwili ni mauti; bali nia ya roho ni uzima na amani.
[7]Kwa kuwa ile nia ya mwili ni uadui juu ya Mungu, kwa maana haitii sheria ya Mungu, wala haiwezi kuitii.
[13]kwa maana kama tukiishi kwa kufuata mambo ya mwili, mwataka kufa; bali kama mkiyafisha matendo ya mwili kwa Roho, mtaishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja na yote, uzinzi unaweza kukuingiza kwenye dimbwi la umasikini usipokuwa makini. Wenzetu hawa wanajua kuomba tu, sasa jifanye wewe don mjini kila ukiambiwa "niazime 100k" unatoa tu huki ukijua kipato chako tia maji.

Ukipigika ndio utajua zile 10k, 50k na 100k zilikuwa na faida gani
 
Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.

Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.

Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?

Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.

Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.

Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.

Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.
Kwanini kwanza umtoe dem arusha kwani dar wameish , unalipa hotel super deluxe ya nini huku vyumba vya 30 vipo lodge vizuri tu
 
Kusema ukweli huu mchezo ni pendwa saana na ukija tathimini hapa wengi wameshakua wakishiriki mapenzi na watu zaidi ya 3+ nina hakika na hili...

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani 3+ tu mbona umeweka kima cha chini sana kama mshahara wa serikali mkuu. Watu wapo double digits mzee, sio me wala ke!
 
Acheni unafiki nyinyi...hii dunia sio ile..! Mnajifanya watakatifu hapa na nyuma ya keyboard wengine mnatype mkiwa mko lodge mbaya zaidi mnachezea tope!
 
Pamoja na yote, uzinzi unaweza kukuingiza kwenye dimbwi la umasikini usipokuwa makini. Wenzetu hawa wanajua kuomba tu, sasa jifanye wewe don mjini kila ukiambiwa "niazime 100k" unatoa tu huki ukijua kipato chako tia maji.

Ukipigika ndio utajua zile 10k, 50k na 100k zilikuwa na faida gani
Acha kutisha watu.
 
Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.

Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.

Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?

Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.

Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.

Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.

Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.
@malamsha11
 
Yaani 3+ tu mbona umeweka kima cha chini sana kama mshahara wa serikali mkuu. Watu wapo double digits mzee, sio me wala ke!
Hahaha mkuu niliweka kima cha chini kabisa... nikijua kila mtu lazima aangukie hapa ...

Ila kiukweli usemacho watu wapo kwenye double digits

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom