Uzoefu wako kwenye ushirikina ni upi?

Dah ni kweli mkuu .. Mambo mengi nilipitiwa ngoja wiki hii nione
Wajerumani kwenye hizo mambo wako vizuri mno
mkuu, naskia sisi wa africa mfano wabongo kwenye swala la hii sayansi, tunaitumia kama toys za watoto kuchezea watu usiku, kushushana maendeleo, malimbwata, chuma ulete, wanasema ni level ya chini mno kwenye haya mambo, huko kwa wajerumani naskia teknolojia hii ina usiri mkubwa mno na ni level za juu sana ndio maana hata huku walivamia hata makabila yaliyotukuka kwa ushirikina, N.B muingereza alikuja baadae sana baada ya mjerumani kusafisha njia.

Je, uzito wa teknolojia ya hao jamaa unajulikana huko vilingeni kwenu?
 
Tuna mipaka na kikomo cha uwezo.. Tuna level zetu pia na kikomo cha umbali...
 
Tuna mipaka na kikomo cha uwezo.. Tuna level zetu pia na kikomo cha umbali...
Hawa jamaa hapana aisee 😂 Wana mambo Yao, huenda hata kinjikitile ngwale aliwachanjia wapiganaji wetu Kinga za kidono (zinadaiwa kukinga silaha) ila mjerumani alishausoma mchezo zamani aka bypass hio security.

Kwa waingereza sidhani sana maana walikuja huku mjerumani ashafanya mengi, pale singida kuna mbibi aliwahi kuwasumbua sana waingereza kwa kutumia teknolojia ya nyuki - mwakyembe alizungumzia hili

Ila naskia funga kazi ni wayahudi
, Hadith za korani zimeweka wazi kabisa mtume Muhammad alirogwa kwa kufichiwa kitana chenye nywele zake chini ya jiwe kama sijakosea, alirogwa uchawi WA kudhani kafanya kitu kumbe bado, ponea yake ni alipooteshwa ndoto ya wapi akitoe hicho kitana

Kifupi kuna wanaojua machache ila sasa Kelele nyingi, kusumbua watu, kuharibu vitu, n.k(loud snake), na wapo ambao huenda wanajua mengi mno lakini wao ni nadra sana hata Kusikia wameyatumia (silent dragon)
 
Mpaka leo nasimuliwa ushirikina ila sijawahi kuuona kwa macho kwa kweli
 
Point I ya msingi ni kuwa, hakuna atakaye jitangaza anapenda kwa mganga, wengi Wanaenda wakiwa kwenye matatizo au wakitaka kifanikiwa, ila usitegemee mtu bakibakushauri kwenda huko mara nyingi ni ndugu wa karibu sana ama rafiki wa karibu sana ndio atakwambia uende huko na mu huyo ujue kidogo anakumini ila hivi hivi hakuna anayekiri kwenda wala kjua uganga
 
Huyo demu alikupeleka wewe ila aliishawahi kabla
 
Niliroga.
Sharti moja wapo gumu lilikuwa kuachwa kwenye makaburi saa 9 usiku,
Bora yangekuwa makaburi ya huku kwetu Mwananyamala ningejua nikimbilie wapi nikisikia vishindo maana vinjia vyote navijua, ila si ya kule Iringa maana yalinishinda...
Mganga kaniacha mwenyewe sekunde 5 tu juu ya kaburi, weeee nikamkimbilia nikamwambia siwezi hata kidogo.
Na kazi ikaishia hapo.
Makaburi ni ishu ingine shem Mshana Jr
 

Hata wewe unaroga Madam B kaburi hilo linakuja nyuma yako[emoji1787][emoji1787]



Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Niielekeze kwa huyo mzee watu wananiibia ndizi shambani kwangu tafadhari
 
HAHAHAHA[emoji23] Pole sana shee
 
Ngoja niseme vile Kwanza hakuna atakaye nijua. Story iko hivi tokea utoto mimi niliteseka kutokana na familia nilipozaliwa mama yangu mkubwa nihatari kwenye hizo mambo nilikuwa naumwa nihatari nakandamizwa usiku ni balaa sasa siku moja nikiwa na umri wa miaka kama 15 dingi akashitukia isseu akaniambia niende nikachimbe mizizi ya mti fulani hivi maana siujui jina kwa kiswahili. Na aina nyingine ni ule makabila mengi tumezoea kuita msongwa. Nikaleta akaniambia nikate kucha zote za mikononi na miguuni nizikusanye, alafu niende haja kubwa na ndogo kisha mzizi wa msongwa nidokoe haja kubwa kidogo na ule mwingine haja ndogo. Akaongezea kipande cha nyoka fulani hivi huwa anawaka usiku mgongoni anakamstari hivi.Akatafuta kigae akakoka moto nje akaweka kigae motoni. Naihivyo nilivyo tayarisha vikaungua vikabaki mkaa akanichanja kuanzia hapo hakuna mchawi alinyonya damu yangu.
 
Duh ilikuwa wapi hii na mwaka gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…