Uzoefu wako kwenye ushirikina ni upi?

Nikiwa na miaka 15 mwaka 1996 si unajua dawa zina expai nimefika umri wa miaka 38 nikaona kama wanaanza kujaribu bahati yao nikaenda kujiongeza hapo ndio na ujuzi ukaongeka mzee nikaongeza miti kama mitatu aisee kilichotokea ni story ndefu
Hefu nipe kidogo tafadhali
 
Hivi huku kwenye ushirikina kuna technology ya kusimamisha ujauzito usikue kwa kipindi unachotaka halafu baadae unauachia uendelee kukua na mtoto akazaliwa?
 
Hefu nipe kidogo tafadhali
Mkuu cha kukupa hapo ni kwamba nilijiongeza zaidi kwenye ile ya kwanza nikaongezea miti mitatu ukiwemo mbaazi nakizimba kimoja ambacho ni ngozi ya chatu. Sasa siku moja baada ya kujiweka sawa nikaenda maeneo ya mbalali nilikokuwa nafanyia kazi. Ile nafika kama leo usiku,hakuna kilichotokea maana hawakujua kama nimeludi. Kama unavyojua tabia za vijijini, kesho yake sasa nimejilaza tu kitandani niko na smartphone yangu nikashangaa usingizi sio usingizi kama nataka kubanwa ivi nikajikuta narusha mguu ninajua wenyewe hawa nikafyolea tu nikaambiwa utakufa shauli yako, nililala paka asubuhi bila shida yoyote. Asubuhi wananiangalia tu vile hawakunifaidi. Tokea hapo sijawahi lala nikandamizwe
 
Hivi huku kwenye ushirikina kuna technology ya kusimamisha ujauzito usikue kwa kipindi unachotaka halafu baadae unauachia uendelee kukua na mtoto akazaliwa?
Hapana labda tu kurefusha muda
 
Kwanini wachawi msiende kuiba Bank? Na Kwanini mtu mchawi anaroga mpaka watoto wake,ndugu au wazazi wake? Uchawi una faida gani kwa mtu?
Mshana Jr Uchawi umekusaidia nn?
 
Kwanini wachawi msiende kuiba Bank? Na Kwanini mtu mchawi anaroga mpaka watoto wake,ndugu au wazazi wake? Uchawi una faida gani kwa mtu?
Mshana Jr Uchawi umekusaidia nn?
Pesa ni mzigo mzito kwanini akaibe bank wakati akitaka kitu atakipata bila pesa?
Kuroga mpaka ndugu hiyo ni hulka mpaka nje ya uchawi... Kuna watu huchukiana bila sababu ama kwa sababu maalum
Mimi binafsi uchawi umenisaidia kuufahamu ulimwengu wa giza katika uhalisia wake ukiaachana na zile hadithi za kubuni
 
Nikiwa na miaka 15 mwaka 1996 si unajua dawa zina expai nimefika umri wa miaka 38 nikaona kama wanaanza kujaribu bahati yao nikaenda kujiongeza hapo ndio na ujuzi ukaongeka mzee nikaongeza miti kama mitatu aisee kilichotokea ni story ndefu
Leta Mbinu niapply
 
Kwa Nini wachawi wa kiafrika wanaroga sana,
 
Mm nimeibiwa propela shaft na status ya scania na site Mira jumla milioni na laki tano HV nimefurugwa apa hatari nawaza napata wapi pesa za kununua vifaa vya watu ..huyu mzee nampataje ata kwa simu tu
 
Ndugu yangu hapa mimi nilikuwa najilinda tu. Sasa swali kwa Mshana na mimi nitakuwa kwenye katika kundi la wachawi? Mshana Jr naomba majibu.
Hapana wewe ukichofanya ni kinga na ulinzi binafsi
 
Mbona wachawi wengi ni fukara sana mkuu, hawana mbele wala nyuma.....mfano kuna sehemu naijua mtu analeta Funza kwenye jamii au Ugonjwa, ila nayeye anaathirika vibaya.......
 
Mbona wachawi wengi ni fukara sana mkuu, hawana mbele wala nyuma.....mfano kuna sehemu naijua mtu analeta Funza kwenye jamii au Ugonjwa, ila nayeye anaathirika vibaya.......
Hawana faida na ulimwengu wa kisasa.. Hawana changamoto zozote za maendeleo .. Wao kazi yao waumize waharibu waue
 
nina hirizi kubwa mno niliambiwa niwe naiweka uvungu wa kitanda,siku mke wangu akiiona sijui nitamwambia nini mlokole yule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…