Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
- #21
Bado tunahitaji likes 1000+ kwa Mh. Paul Makonda. Huku tukiendelea kusubiri hotuba yake ya kwanza katika jiji letu la ARUSHA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdomo uliochongoka umemponza. Mama amemuweka pale yeye anasifia marehemu. Eti anasema anatamani angekua mwenezi enzi za marehem ndio watu wangemkoma. Matusi,dharau kiburi na kejeliWatu wa dini wanasema "ana kibali".
Hii Huwa inatokea tu kwa baadhi ya watu kukubalika hata wakifanya mabaya. Mfano kwenye music tuna Nyandu Toz na Juma nature.
Kwangu Mimi,Makonda ni kiongozi wa hovyo.Jamaa ana mdomo mchafu kama Manara.
Sasa anamhutubia nani badala ya kutatua kero za wananchi? Akihutubia hutubia utenguzi utamhusu huo ndio ukweliBado tunahitaji likes 1000+ kwa Mh. Paul Makonda. Huku tukiendelea kusubiri hotuba yake ya kwanza katika jiji letu la ARUSHA
Chuki ya mtu mmoja haiwezi kuharibu kukubalika kwa Makonda.Sasa anamhutubia nani badala ya kutatua kero za wananchi? Akihutubia hutubia utenguzi utamhusu huo ndio ukweli
Makonda ni kiongozi jasiri leo anaapishwaMdomo uliochongoka umemponza. Mama amemuweka pale yeye anasifia marehemu. Eti anasema anatamani angekua mwenezi enzi za marehem ndio watu wangemkoma. Matusi,dharau kiburi na kejeli
Kumbuka hapo alipo anaondolewa na mtu mmoja pasipo hata kikao wala ushauri wa mtu mwingine.Chuki ya mtu mmoja haiwezi kuharibu kukubalika kwa Makonda.
Naunga mkono hoja, ila naomba nikurekebishe kidogo, sio kweli kuwa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti, ukweli ni kuwa Paul Makonda hana mamlaka yoyote, kwasababu mamlaka ya kweli ni kutoka juu!, Paul Makonda ni mpakwa mafuta, hivyo ana kitu kinachoitwa "kibali", mbele ya macho ya mamlaka ya kweli, ni kutokana na kibali hicho, kinamuwezesha kukubalika popote!, Lema na Gambo wote wawili watashika adabu zao!, na wale machalii wa Arusha, watanyooka!. Arusha itakuwa kama pepo fulani, itachanua, itang'aa kutokana na kibali cha Makonda!.Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti.
Utabiri wangu ni kwamba kundi kubwa la watanzania litahamia Arusha sasa.
Anajua kucheza na nafasi yake.
Tunao subiri hotuba ya kwanza ya Paul Makonda akiwa Arusha gonga like.
Hata baada ya kuteuliwa kuwa RC wa Arusha, Paul Makonda bado anapigwa vita na wasiomtakia mema, wasioitakia mema CCM na wasio itakia mema Tanzania.Wanabodi,
Hili ni bandiko la kuhamasisha a mass mobilization ya kupata kundi kubwa la watu, kuunga mkono kwa dhati, juhudi kubwa zinazofanywa na Mkuu Mhe. Paul Christian Makonda, katika vita mbalimbali,
Hivyo hili ni bandiko la wito kwa kuwaomba ndugu, jamaa na marafiki wa dhati, wanaomjua Makonda kwa karibu na kwa ukweli, njooni tujitokeze kwa wingi, kumtetea Makonda tunayemfahamu dhidi ya uongo na uzushi unaozushwa na kusambazwa na mapapa wauza unga
Ndugu, Jamaa na Marafiki, Tujitokeze Kwa Wingi Kumtetea Makonda
Paskali.
🤣🤣🤣🤣🤣
Walimu wa AR wajiandae kutolipa nauli...😛😛😛🙄🙄🙄Hakika watanzania ni watu wenye chuki sana kwa watu wanaojituma watu wazalendo kwa taifa Lao. Naomba Mungu watanzania waendelee kutawaliwa tu na watu wenye akili.
Makonda anatatizo gani mtu anajituma kwa moyo wote.
Jamaa ana vita kubwa sana , kiufupi ana vita kubwa ila kwa kuwa ni Mpakwa Mafuta atashida , akifika Arusha nitaenda kumnong'oneza jamboKatika kipindi ambacho comrade anatakiwa awe makini sana ni hapo Arusha kwenye wadhifa wake mpya!
Akikosea TU atapotea!!
Nadhani baada ya kupata Ile ajali alipoa sana,sijui ni nini kilimtokea !mi nadhani ni yeye mwenyewe aliomba atolewe kwenye cheo kile baada ya kuona anakua target!!
Alianza kuongea hadharani kabisa eti ananusurika kutegewa sumu!nilishtuka nikajua Kuna tatizo!
Namtakia Kila la kheri comrade makonda!
Sisi tunamwombea kila siku.Jamaa ana vita kubwa sana , kiufupi ana vita kubwa ila kwa kuwa ni Mpakwa Mafuta atashida , akifika Arusha nitaenda kumnong'oneza jambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi hapa "mpakwa mafuta" alikuwa anafuata "wauza unga" studio ya Radio na Tv saa 4:46 usiku??Naunga mkono hoja, ila naomba nikurekebishe kidogo, sio kweli kuwa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti, ukweli ni kuwa Paul Makonda hana mamlaka yoyote, kwasababu mamlaka ya kweli ni kutoka juu!, Paul Makonda ni mpakwa mafuta, hivyo ana kitu kinachoitwa "kibali", mbele ya macho ya mamlaka ya kweli, ni kutokana na kibali hicho, kinamuwezesha kukubalika popote!, Lema na Gambo wote wawili watashika adabu zao!, na wale machalii wa Arusha, watanyooka!. Arusha itakuwa kama pepo fulani, itachanua, itang'aa kutokana na kibali cha Makonda!.
Paul Makonda ni mpakwa mafuta wa Bwana mwenye kibali machoni pake.
Wanabodi, kwenye bandiko hili Ndugu, Jamaa na Marafiki, Njooni Tumtetee Makonda Dhidi ya Mapapa Wauza Unga Wanaomzushia... nilishauri
Hata baada ya kuteuliwa kuwa RC wa Arusha, Paul Makonda bado anapigwa vita na wasiomtakia mema, wasioitakia mema CCM na wasio itakia mema Tanzania.
Hongera sana Mkuu mpya wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda, kuiheshimisha Arusha, endelea kunyoosha kama JPM.
Kiukweli ninamkubali sana Paul Makonda!, Tangu nilipoanza kumkubali Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
He has never let me down!. Tena niliwahi kushauri Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze... ushauri huu still stands, kwasababu miaka hii 4 ya Mama ni kumalizia awamu ya Magufuli, awamu ya baada ya Magufuli inaanza 2025, ila Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke hivyo you never know with politics, everything is possible!.
Paul Makonda kanyaga mwendo, chapa kazi hapo RChuga, panyooshe, machalii wa Arusha wanyooshe!, kazi iendelee!.
Paskali.
CCTV camera hata supermarket zipo zinachukua picha za wateja na kuhesabu wateja wanao ingia na kutoka.Vipi hapa "mpakwa mafuta" alikuwa anafuata "wauza unga" studio ya Radio na Tv saa 4:46 usiku?? View attachment 2953438
Wewe binti, mara nyingi waigizaji huwa na wafuasi. Uzalendo wa Makonda ni upi? Unasubiri hotuba au drama zake? Uko Arusha sijuhi ataingia kwa ungo, maana sarakasi za mikokoteni, punda na baiskeli keshazifanya.Hakika watanzania ni watu wenye chuki sana kwa watu wanaojituma watu wazalendo kwa taifa Lao. Naomba Mungu watanzania waendelee kutawaliwa tu na watu wenye akili.
Makonda anatatizo gani mtu anajituma kwa moyo wote.
Kwahiyo siku hizi supermarket wanarusha matangazo ya redio na televisheni?CCTV camera hata supermarket zipo zinachukua picha za wateja na kuhesabu wateja wanao ingia na kutoka.