Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

The One and Only One Mama E.

Wewe ni binadamu wa kipekee sana.
Wewe ni rafiki yangu wa kweli.
Wewe unayajua maisha mno.
Wewe ni mwanamke wa Mithali 31
Wewe ni mshikaji wangu wa kudumu!

Wewe ni ua waridi lenye fumbo
Wewe ni shairi tamu litoneshalo mtima
Wewe ni hadithi tonofu isiyo na mwisho
Oooh! Binti mwema asiye na mawaa
Mpendwa wangu nipendezwaye nawe sana.

Happy Valentines rafiki yangu mwema. Mungu Akubariki na Azidi kukulinda.

Mimi nitakupenda na kukuenzi daima.
Upo! Nipo! Tupo! [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji8][emoji8][emoji8]

View attachment 3232669

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Asante kwa kuokoa maisha yangu. Sitasahau kamwe! [emoji1545]
Sasa Gran Pah si unge mtag kabisaa.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Atoto wewe ni nambari uno, namba 1 kabisa, halafu hakuna 2 wala 3, ni wewe pekee, the 1st, the last n everything in between.
Kama kupenda ni dhambi, basi shetani yu nami.
Nakulavu kinoma
 
Happy Valentine's ❤️ My Babe, my honey, my sweetheart, my Darling, nyonga mkalia ini, tajiri wangu, mkaka msafi, mpole, handsome wangu, mtu mwenye mapesa yake 🙌🙌🙌 My Everything.

Nakupenda halafu nakupenda tena, kila siku kwetu ni Valentine, unayejua kunituliza na hasira zangu za Kikurya na tabia zangu za Gemini. Unanivumilia mengi, tumevuka mabonde na milima.

Najua unanipenda, naona jitihada zako, vitendo vyako kwangu, nina bahati ya kipekee. Kumpata mtu ananidekeza na kunijali sana. Kuelekea Valentine's hii nasema Ahsante kwa kila kitu. Usipunguze bali uongeze mpaka nichanganyikiwe 😅😅😅😅😅

Ukipita hapa utasoma ujumbe wako, unajijua, Nakupenda 💞💕💝💘❣️💋❤️
 
Back
Top Bottom