Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

Bantu Lady unajua kumpenda huyo nyonga mkalia ini .
Miongoni mwa watu ambao huwa nawafuatilia kimya kimya hapa jamiiforums nione wame-comment kwa namna gani ili nijifunze namna ya kuandika kwenye jamii , Bantu Lady takes the cake,comments zako huwa zinamuonekano mzuri. Kumbe wewe ni Gemini kama Donald Trump. Donald Trump aliwahi kusema " I know words.I have the best words."

Kuna dada mwaka jana tarehe 19th November 2024 aliwahi kuniambia eti "I am a true gentleman who deserves the finest in everything." Huyo dada kuna idea yangu aliipenda ndo maana akaniambia hivyo.Nilivyokuja kufuatilia kumbe yule dada ni Gemini. Gemini huwa mna maneno mazuri yanayoweza kumshawishi mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…