Yani wewe mimi niko busy kukupigia pasi kwa binti wa zamani, kumbe wewe uko busy kumnyapia dr Mariposa πΉπΉπΉSubiri habari itv saa 2 kamili usiku, nataka nimtangaze huko.. nitamuanzia kwenye
Habari za kitaifa..... kisha
Habari za kimataifa ...... kisha
Biashara....... halafu
Ni mwendo wa burudani na michezo
Yani wewe kunguru wa Zanzibar utanipinza hufugiki kabisaaaβ¦!! πΉπΉHuu ni mshahara wa bure kabisa unapewa.. itabidi nami uniganjie kidogo
Sichagui sibagui, atakaenipa PAPA WEMBA simjui.. ππ€£Yani wewe mimi niko busy kukupigia pasi kwa binti wa zamani, kumbe wewe uko busy kumnyapia dr Mariposa πΉπΉπΉ
Huku atotoo kanikalia kooni sikulindi..!! π₯πΉ
Yani bajet yangu ndogo mno mnoAaah bajet nzuri kabisa, hata 50k humalizi....14 ferb ifike chap chap
Na mimi nimefika nikajivutia kakiti hapo pembeni ya Min me tuangalie yanayojiri, maana watu wanabebana na kubebishana humu siyo poa π πYani wewe mimi niko busy kukupigia pasi kwa binti wa zamani, kumbe wewe uko busy kumnyapia dr Mariposa πΉπΉπΉ
Huku atotoo kanikalia kooni sikulindi..!! π₯πΉ
Watu wanapendana humu , unaweza jipendekeza kiboya ukaonekana goigoiπNa mimi nimefika nikajivutia kakiti hapo pembeni ya Min me tuangalie yanayojiri, maana watu wanabebana na kubebishana humu siyo poa π π
Acha tu, sie tukae kwa kutulia ndugu yangu π πWatu wanapendana humu , unaweza jipendekeza kiboya ukaonekana goigoiπ
Hiyo valentine yao ikipita tuwacheke watakavyo kuwa wameachana na kuachiana utiayi na ukimwiAcha tu, sie tukae kwa kutulia ndugu yangu π π
Watu wana libido zip hazifungi πΉπΉNa mimi nimefika nikajivutia kakiti hapo pembeni ya Min me tuangalie yanayojiri, maana watu wanabebana na kubebishana humu siyo poa π π
πΉπΉπΉHiyo valentine yao ikipita tuwacheke watakavyo kuwa wameachana na kuachiana utiayi na ukimwi
Hatari sana ππ kama una wivu humu unaweza kujifia bure.Watu wana libido zip hazifungi πΉπΉ
Yamekua hayo tena πWewe mahi si unaye yule uliyemtag siku ile em muite shem basi atutoe valentine tukanywe wine. πΉ
ππΉπΉπΉ
Ila min mademu humu wanakufanya babu jinga ujue πΉ
Mimi nilishakupa code kitambo hutaki kuifanyia kazi..!!
Muite bhana shem, halafu anaonekana mstaarabu umejua kuchagua mahi πYamekua hayo tena π
Wewe, aliniambia hataki mazoea humu JF πMuite bhana shem, halafu anaonekana mstaarabu umejua kuchagua mahi π
Sio km Vimeo vingine humu πΉπΉπββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈπββοΈββ‘οΈ
Mhmm!! Red flag kubwa hiyo..!!Wewe, aliniambia hataki mazoea humu JF π
Mapenzi yafutwe kama anavyojisemeaga Evelyn SaltMhmm!! Red flag kubwa hiyo..!!
Mwanaume akishasema hivyo ujue Kitombile kawapanga dadeq πΉπΉπΉ
Ifutwe ngono kila mmoja awe busy kumuomba Mungu. πΉMapenzi yafutwe kama anavyojisemeaga Evelyn Salt