Valentine inakaribia ila sina hata wa kuniletea ua

Jaman kupitia huu uzi mkumbukege kuwapelekea maua wapenzi wenu sio mnawapa hela tu kila kitu kina maana yake.

NB; SIJASEMA MSIWAPE HELA
 
Tumeelwana mkuuu
 
Shida ua tu na kulala south benga(beach), mie najitolea kufanikisha hayo.
 
Jamaa yangu yule ana majanga, halafu ukimuona ni mpolee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…