Valentine inakaribia ila sina hata wa kuniletea ua

H
Dada yangu bora ubaki hivyo hivyo
Mapenzi ni mateso sana
Mapenzi ni kuteseka
Mapenzi ni mpasuko wa moyo
Mapenzi ni giza zito
Mapenzi ni kadhia
Mapenzi ni kutoa na kujumlisha kisha ugawanye kwa sifuri
ivi mapenzi yalikufanyeje kk?

Nimepitia sredi zako nione kama ushawahi kuyalilia nikakutana na story za subwoofer tu na amplifier.

Open up hun, what went wrong.
 
Kuna Boss wangu hapa Mpopo, anataka Valentine wa mchongo, kama uko free tufanye reservation Level 8 au Akemi [emoji41] kama kwenu mbali Pa kulala sio kesi atakulaza Four Point by Sheraton, awi tugeza???
Mpopo hashindwi kunisokomeza ngada bureee
Abegooo
 
mmmh madam, mama alikusomesha mpaka Masters halafu Mungu akasema na roho yake.
Mama akamwachia kaka ake (mjomba) akulee ila mbona Tena mjomba anakula badala ya KULEA?

#YNWA
Watu hawana huruma na watoto wa wenzao hilo ndo nililogindua. Hata yeye Ana binti atachakatwa tu
 
Mna lifestyle POA sana, sio zile za kugandana kama Luba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehe mapenzi ya wizi huwa kanuni ya kwanza hakuna kugandana... ukiikiuka hyo basii...
Ila nahisi kama namchoka hivii...nalose interest
Nadhani stress ndo zilinifanya niwe nae..(last year nilipitia stress kubwa sana ya kifamilia so kila hug ilimata sana na nilihitaji faraja zaidi...)
 
Dada angu Nakadori ebu nna kijiswali kidg (but don't take it too personal)[emoji4]

Uyo anko wako Ni mchawi au sio mchawi?[emoji4]

Ukinijibu ndio au hapana, afu ntakwambia kwann nmeuliza[emoji4]
Nyieee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dada yangu bora ubaki hivyo hivyo
Mapenzi ni mateso sana
Mapenzi ni kuteseka
Mapenzi ni mpasuko wa moyo
Mapenzi ni giza zito
Mapenzi ni kadhia
Mapenzi ni kutoa na kujumlisha kisha ugawanye kwa sifuri
Ukiyaendekezaa yatakupa mateso...
Siku hizi hatupendi ila tunafanya mapenzi tuu
 
Dah! Uyu jamaa ban za kila mara huwa hazimkauki,
Sijui mara Hii anaugomvi gan tena na mods[emoji4]
Nashangaa wakati sijawahi kuona akitukana mtu...sijui sheria gani ya jf huwa anaivunja
 
Dah! Pole Sana,
stress gan izo dada angu, [emoji26]

Au hazifai kuelezea public tuipotezee[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna waziri mmoja mstaafu Ana mambo ya kutosha hadi nikashangaa....yan na ujana wangu me ndo mshamba kwake
Wazee huwa wapo vizuri sana huwa wanawazidi vijana mbali .
 
H

ivi mapenzi yalikufanyeje kk?

Nimepitia sredi zako nione kama ushawahi kuyalilia nikakutana na story za subwoofer tu na amplifier.

Open up hun, what went wrong.

Mkuu wewe acha kabisa....pengine ntajaza JF
Kwangu mapenzi ni kama mateso tu
Nadhan kwasababu nnajari sana.
 
Labda uwe na akil hizo
Uki sev mambo kichwan utakufaa
Wenzako tulianzia huko huko kwenye kujitoa mwili na roho siku hizi roho tunaacha nyuma mwili mbele. We endelea tu kuwa penda penda utakufa siku si zako.
 
We mdau unaeteswa na mapenzi soma hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…